Mwanamuziki Stara Thomas Akana Kufumaniwa na Mpenzi Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Aliyekuwa mwimbaji muziki wa gospel na baadaye kurudi kwenye Bongo Fleva,Stara Thomas amekana habari zilizoenea hivi karibuni kuwa amefumaniwa na mpenzi wake nyumbani kwake.

 Akizungumza na Soudy Brown kupitia Uheard alisema kuwa mwanamke kama yeye hawezi kufumaniwa na kwamba mpenzi wake wa sasa kinachomsumbua ni wivu wa kimapenzi bila kumtaja jina mpenzi wake huyo wa sasa.

Aidha ameongeza kuwa hayuko tayari kuzungumzia suala hilo kwa sasa ndiyo maana amekaa kimya tangu habari hizo zitoke kwenye magazeti.

‘’Nimeamua kunyamaza kimya lakini ipo siku ntazungumza kila kitu kuhusiana na habari hizi," alisema Stara.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KAMA UMEAMUA KUNYAMAZA UNNYAMAZE USISEME TENA!!!!

    ReplyDelete
  2. Malaya tu we Stara,km sio hivyo yule bwanako aliyekamatwa na maliyaasili(meno ya tembo)akirudi itakuwaje km unazidiwa maliza mambo yako kimyakimya sio mpska ugonganishe michepuko???kweli ng'ombe hazeeki maini
    .....

    ReplyDelete

Top Post Ad