Vijimambo: Nanenepa Kimasogange Masogange,Kisa Chips za Mpemba-Nisha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwingizaji wa filamu mwenye vituko, Salma Jabu  ‘Nisha’ alibandika picha yake matandaoni ikimuonyesha jinsi alivyo mnono kwa sasa na kuandika  haya;

"Dah mbona km sijielewi au sio mm??? Ok nimekumbuka chips za mpemba zinafanya kazi dah!!!sa mbona nanenepa kimasogangee masogange mhhhh si kwa kibuno hiko loool.. niacheni nijiambie mwnyw maana mtakua hamnambii."

Usikose filamu mpya ya mkali huyu, inayokwenda kwajina la SHIDA amabayo siku ya kesho inaingia sokoni.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Utathubutu kuwa kama masogange na hiyo namba 9 na hiyo minyonyo mikubwa hivyo,?

    ReplyDelete
  2. naomba nikubandue unaonekana una mafuta sanaa

    ReplyDelete

Top Post Ad