Kwa maoni yako, watu hawa wanaosababisha ndugu zetu albino wanauwawa, unahisi adhabu gani inawafaa?
Unahisi Adhabu Gani Inawafaa Waganga ama Watu Wanaohusika na Mauaji ya Albino?
4
March 14, 2015
Kwa maoni yako, watu hawa wanaosababisha ndugu zetu albino wanauwawa, unahisi adhabu gani inawafaa?
Tags
MIYE NAONA WAKATWE NA WAO MKONO MMOJA NA PANGA KWA NAMNA ILE ILE WANAYOWAKATA ALBINO ILI NAO WAPATE MAUMIVU KAMA WALIVYOWAFANYA WENZAO!!!
ReplyDeletemie naona wafilwe azarani hao bila ata kupakwa ky machine iingie kavu kavu
ReplyDeletenawao wakatwe kama wanavyofanyia wanzao
ReplyDeletewakatwe mikono ili wasikie utamu
ReplyDelete