Hili la Kufanya Mapenzi Kwenye Gari ni Ashki, Ubahili au Ujinga?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ukitembea maeneo kadhaa ya Dar es Salaam hasa Coco Beach, Parking za Mlimani City, Sea Cliff, Airport, Sinza Mapambano na Mori hutakosa watu wakifanya yao kwenye magari hasa yenye Tinted Noah ndio zinaongoza.

Sasa mimi najiuliza hivi kweli watu wazima mnaamua kufanya mapenzi kwenye gari ni kukosa pesa, au ashki imekuwa kali sana hauwezi kuvumilia ama ni nini.Maana kama mtu umeweza kununua gari kama Noah milioni kadhaa, ukajaza mafuta.

Maana mara nyingi wakati watu wanafanya gari huwa lipo silence kwa ajili ya kiyoyozi na Emergency kwa ajili ya kuondoka haraka ikitokea la kutokea unashindwaje kupata hela ya Guest hata short time?

Acheni huo mchezo kabisa , mtakutwa na mtaaibishwa mitandaoni

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. NDUGU MNYETISHAJI WA HABARI HII UMESAHAU YA KUWA KIPOFU AKIPATA NA MATAKO HULIA MBWATAAAAAA???????

    ReplyDelete

Top Post Ad