Lulu Michael Ahuzunishwa na Watu Wanao Mkejeli Kwa Kumhusisha na Kifo cha Komba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari kutoka kwa chanzo chetu ambacho ni mtu wa karibu wa Lulu, staa huyo alijikuta akiumia moyo kama walivyo binadamu wengine lakini hali hiyo imekuwa ikimtesa hasa aina ya meseji zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa mwanaume ‘akiwa karibu naye’ basi ajiandae kuaga dunia.

“Eti mwanaume kama ana jina linaloishia na ‘MBA’ kama Komba au Kanumba (marehemu steven Kanumba) basi imekula kwake,” kilisema chanzo hicho na kufafanua kwamba maneno hayo yameuchoma moyo wa Lulu kiasi kwamba anahitaji ushauri wa kisaikolojia.
Ilisemekana kwamba, hali hiyo imemkosesha raha Lulu na kuwaona baadhi ya Watanzania kuwa ni watu wasiojua maumivu ya moyo kwani naye ana moyo wa nyama na siyo chuma.
Chanzo hicho kilieleza kwamba, kwa umri wa Lulu wa miaka 20 amebebeshwa mzigo mzito mno hadi amefikia hatua ya kutamka waziwazi: “Watanzania imetosha, nimewakosea nini? Naombeni nihurumieni jamani!
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ukijiheshimu huwezi kubeba mizigo kama hiyo jamani jaribuni kujiheshimu

    ReplyDelete
  2. Ukome kutembea na bana zako kima weee!!!!hukuona aibu kuangalia vyombo vya wakubwa umefaidi nini sasa zaidi ta kupata laana kutembea na wazee afu bado huachi huyo tabia...,mmelaaniwa wote wenye tabia km yako nyie na vizazi vya zinaa mmekuja pasipo mipango ya wazazi ila kwa starehe zao ndo maana mnaleta shida Leo unaona ni sawa kuangalia utupu wa mtu sawa na babako sio peke yako hayo mambo yanatokana na ukoo kurithiana sishangai sana ni tabia za kifamilia zinarithiana km ugonjwa wa kansa na kisukari...,epukeni maana huyo nyie wanawake ambao hamjaingia huyo tabia mnapotea......na bado....,

    ReplyDelete
  3. mine is loading

    ReplyDelete
  4. tumsitiri jaman...kah... no one knows the truth...

    ReplyDelete
  5. LAKINI UMEFAIDI LAVER 4 MPYA KULIKO KILE ALIKUPA UTUMIE KIKALETA MANENO BORA ALINUNUA KABLA AJAFA MWAYA. AKABAKI NA MADENI MPAKA YAMEMUUA

    ReplyDelete
  6. NINI WEWE TULIA SI UNAPENDA UMAARUFU WA KIJINGA WE UNAFIKIRI WENGINE HAWAFANYI ? WANAFANYA LAKINI KWA STAHA ,NYOKOOOO

    ReplyDelete
  7. DUUUU HUYU MTOTO ATAWAMALIZA NA MA PRESSURE YAOO

    ReplyDelete
  8. Kwaiyo huyu nae kaua yeye du mtoto anatisha huyu,wanaume mnaofuata utamu Wake huu malaya mtoto jiandaeni kufa kama wenzenu baada ta kina "mba"what next....,Gerad umemucheki kamamaa wa mambo????kako bomba sema malaayaaa kmelaaniwa kutembea na babu zake....,ndo maana kangekaa tu lupango katauwa wengine.......

    ReplyDelete
  9. mMMMMMMMMMH APO NAPO ULIKUWEPO MAMA!!!!!!!! POLE

    ReplyDelete

Top Post Ad