Mchungaji Matatani Baada ya Kuwashawisha Wafuasi Wake Kukata Sehemu zao za Siri ili Kuwa Karibu na Mungu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mhubiri maarufu wa dini India ambaye ana wafuasi zaidi ya milioni hamsini duniani Gurmeet Ram Rahim Singh anakabiliwa na mashtaka ya kusababisha majeruhi kwa tuhuma za kuwashawishi wafuasi wake 400 kukata sehemu zao za siri ili waweze kuwa karibu na Mungu. Singh aliwaambia wafuasi wake kwamba wale ambao wanaotekeleza amri hiyo watakuwa na uwezo wa kumuona Mungu. Wafuasi wa Singh walikata sehemu zao za siri kwenye Hospitali ambayo yeye anaimiliki
Una lipi la kusema juu ya hilo?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. makafiri hawana akili eti,hata likiwa na ma phd bado ni mambumbu tu, kafiri ni kafiri tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. NA NYIE MNAOUA WATU OVYO NDIO MNA AKILI SAAANA?? KARIFI MWENYEWE!!!!

      Delete
  2. Na hao hao waochinja watu kila kukicha nao tuwaiteje

    ReplyDelete
  3. We ndo tahila kwela.

    ReplyDelete
  4. ETI WATUAMBIA HAO KUTWA KANACHINJA WATU NDO TUWAITEJE???

    ReplyDelete

Top Post Ad