Nikifa mazishi yangu nataka yawe ya mwaliko maalum – Lady Jaydee

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Lady Jaydee haogopi kufa na infact anataka mazishi yake yawe na mwaliko kama vile harusi zilivyo.

Katika muendelezo wa post zake ‘controversial’ Lady Jaydee ameweka picha za majeneza mawili ya kifahari ambayo anapenda akifa azikwe.

Hata hivyo ana masharti – mazishi yatakuwa ya mialiko maalum na hatopenda mwili wake ufunuliwe.

“I’ve changed my mind Sitaki tena lile la purple Moja kati ya hayo hapo juu #MsiMind #KilaMtuAtakufa #Msiogope Nilikuwa nafikiria pia iwe invitees only #SitakiKufunuliwa,” ameandika Jide.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu dada anaumwa kisaikolojia jamani......haiwezekani uanze kupanga mikakati ya kifo badala ya kupambana na ya duni kwani hata hazina ya mbinguni tunaipatia hapa. Wanasaikolojia hebu msaidie mana sijawahi ona fikira kama hz kwa komandoo nikiwa kama shabiki wa kazi yake ya music

    ReplyDelete
  2. aanze kuchuma amali za kwenda msaidia uko badala ya kupanga mazishi yaweje amali yake ya duniani ndio itakayo msaidia mbele uko siku ya hukumu hajalishi ulienda kuzikwa na jeneza gani nani na nani walikuzika ulizikwa wapi havina faida fahari ya macho umaskini utajiri hautasaidia mtu siku hiyo matendo yako hapa duniani ndio utolipiwa nayo haijalishi ulikua marufu ama hujulikani kama mimi wote sawa mbele za mungu na ubora wetu utakuwa kutokana na matendo yetu!!! haya have a bless friday

    ReplyDelete
  3. Wewe ndio unaumwa ki saikolojia, kujipangia mazishi ni kitu cha kawaida sana kwa nchi zilizo endelea, ndio maana kuna kitu kinaitwa funeral plan una save hela yako ukifa easy to bury ur body, inaonekana Jide kali fahamu hilo, muacheni afanye yake, hata mazishi ya wenzetu una alikwa ku attend sio kila mtu anakuja, wanafiki, wachawi waongo na maadui zako wanajidai kupita kukuaga, tunako elekea hata mazishi yatahitaji mualiko sio kila mtu aje kuzika.Fanya utakavyo jide anaye ku critics hajitambui.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe utakuwa jide mwenyewe, maana ulivyoshupaaaaa kama kinyago cha mmasai.

      Delete
  4. MAISHA YANABADIRIKA WENZETU WAMEENDELLEA SASA KM NINYI MNASHANGAA MTAKUA WAPUUZI MAZISH YA TZ KILA MTU ANAENDA UPUUZIII INATAKIWA WATU WAALIKWEE SPECIAL

    ReplyDelete
  5. Duuuuuh.......mungu tulinde waja wako.......maana Hui mialiko ya kuzika ndiyo naisikia......kama Luna andiko jipya saw a.......

    ReplyDelete
  6. JIDE VIPI DADA UNANITISHA SHABIKI WAKO

    ReplyDelete
  7. Kavurugwa huyoooooo

    ReplyDelete

Top Post Ad