Sugu "Kikwete Studio Uliyoitangazia Dunia Kawapa Wasanii iko wapi na Umemkabithi Nani?'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Joseph Mbilinyi aka Sugu
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, amesema hajaweza kufanya kitu chochote kuwasaidia wasanii kwa kuwa wakati anagombea Ubunge hakuna aliyekuwa nyuma yake. Sugu amelazimika kusema hayo baada ya shabiki kutaka kujua ni kitu gani alichowafanyia wasanii tangu awe Mbunge.

''Hao wanaozingua wakamuulize Kikwete studio aliyoitangazia dunia kawapa wasanii iko wapi na kamkabidhi nani, amehoji Sugu kwenye Instagram. Rais kashindwa kuwasaidia wanataka kumlaumu mbunge wa Mbeya mjini, wakati hata hao wasanii wenyewe kimsingi hawakutusapoti kwa namna yoyote wakati tunagombea huo ubunge, wote walikuwa wanajipendekeza kwenye kampeni za CCM''.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Siasa siyo lele mama katika vipaza sauti tu ni vitendo vya ukweli ndivyo wanavyovitaka hao waliokupigia kura na kukufanya uwe hapo ulipo sasa kumbukeni mkono mmoja huosha mwingine/mkono mmoja peke yake hauwezi kujiosha

    ReplyDelete
  2. Ahadi ni deni so timiza lile/yale uliyoyaahidi wakati wa kampeni zako

    ReplyDelete
  3. NI KWELI KABISA KAMANDA!!!!

    ReplyDelete
  4. Wewe Sugu una msema Kikwete hajatimiza ahadi zake, wewe Umetimiza Ahadi zako kwa Sisi Wana Mbeya au unataka tuanze kuziorothesha ahadi ulizo tuahidi na hujatimuza, jipange kaka uchaguzi ujao sio lelema.

    ReplyDelete
  5. acheni usenge nyie mbunge awtimizii ahadi ila anasimamaia ahadi za serikali mbwa nyie ndio wale akiili ziko matakoni eti wana mbeya kama serikali imewatosa mnataka afanyeje wakati serikali inapeleka maendeleo majimbo ya ccm

    ReplyDelete
  6. Sugu mtu wang vile, noooomaass! Tengeneza verse maana bit zipo tayari au bipi, sie masela kura kwako usipinde mwanangu, oooyaaaa

    ReplyDelete
  7. SUGU POA SANA KWELI STUDIO IKO WAPI???????

    ReplyDelete

Top Post Ad