Aunt Ezekiel Atoboa Kuhusu Wasanii wa Bongo Movies Kujitengenezea ‘Skendo’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa mrembo wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ‘Mama Kijacho’ amesema baadhi ya wasanii wa bongo movies hawajitambui ndio maana kazi zao nyingi hazina mvuto  badala yake nguvu nyingi wameelekeza kubuni skendo wakitarajia ndio zitawatoa kisanaa.

Alisema wasanii wengi wanatumia muda mwingi kutafakari jinsi ya kutengeneza skendo ili watume kwenye mitandao na kuandikwa kwenye magazeti lakini hawana ubunifu  wa kutengeneza filamu zenye ushawishi kwenye jamii.

Aunt ambae kwenye filamu ya Chozi la Wanjaa amecheza kama mke wa Dude alisema kwamba endapo wasanii wanaofanya mchezo huo hawata badilika ni ukweli usiopingika  kwamba soko la filamu  inchni litaendelea kudumaa kama ilivyo sasa.

Ni ukweli kwamba baadhi ya wasanii wa filamu hawajitambui kwani akili yao wameelekeza kwenye kutengeneza skendo badala ya kubuni namna ya kuigiza filamu ambazo zinaweza kuwa na mvuto kwenye jamiiinayoziangalia kinyume na hapo tutaendelea kusaka wachawi wanaoua soko letu’- Aunt Ezekiel alilieza gazeti la Filamu

Mdau una maoni gani juu ya hoja hii ya wasanii kutengeneza skendo, je ni kweli? Msanii gani unahisi ndio kazi yake.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kumbe anjua kwani yeye ni mmoja wao wa wanaojitengenezea skendo ili wawe maarufu zaidi. Sometimes they can be stupid idiots.. Eti wanajiita mastaa wa Bongo.. ni maajabu kuwa na mastaa wajinga

    ReplyDelete

Top Post Ad