Jini Kabula:Naendeleza Rekodi yangu ya Kutolala Gesti na Wanaume, Mwanaume Akinitaka Anipeleke Kwake la Sivyo Big No.....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

STAA wa Bongo movies, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’, ametoa kali kwamba katika maisha yake ya mapenzi hajawahi kulala na mwanaume kwenye nyumba za wageni.

Kabula alisema wanaume aliowahi kuwa nao kimapenzi walipotaka kumpeleka katika nyumba hizo aligoma na badala yake aliwataka wampeleke wanapoishi kama hataki hapati kitu.

“Siwezi kuficha, ukweli ndio huo kama huamini basi, mwanaume akinitaka huwa ananipeleka kwake sio gesti kama hataki aniache tu, naendeleza rekodi yangu ya kutolala na wanaume gesti,’’ alieleza Kabula.

Tanzania Hottest Celebrity Gossip News
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dah, kumbe wasanii wengi ni malaya!!!!

    ReplyDelete
  2. Yep!Lazima wafanye "overtime"ya kuuza **********shauri ni kwa movies gani wanazocheza ili ziwafanye wategemee kuishi kwa hilo ndio lazima wapige ovetime ya kuuza*******ili at least waweze kusurvive wapo wengi soko la movies zao mbuzi na wao tayari wamejibatiza jina la usupastaa so ili kuishi kama supastaa ndio lazima overtime ifanyike wengine kisirisiri kwa saaana na wengine kama huyo hapo juu matangazo nje nje

    ReplyDelete

Top Post Ad