Johari:Lazima Niseme Kweli Mwigizaji Ray Ndio Kila Kitu Kwangu..Nipo Hapa Nilipo leo Sababu za Jitihada zake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ray na Johari
Brighton masalu
PATAMU hapo! Diva wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amesema msanii mwenzake, Vincent Kigosi ‘Ray’ ndiye kila kitu maishani mwake kutokana na msaada aliompa wa kumtoa kisanii na kumsapoti kwa mambo mengi kikazi.


  • ‘Akianika mwanya’ katika mazungumzo na Amani juzikati, Johari alisema haoni sababu ya kuficha ukweli kuwa bila Ray isingekuwa rahisi yeye kufika alipo kisanii hivyo lazima akumbuke kurudisha shukrani.



  • “Lazima niwe mkweli kuwa, Ray ni kila kitu kwangu, nipo hapa nilipo leo kwa sababu ya jitihada zake. Alikuwa mwalimu wangu wa sanaa tangu Kaole (kundi la sanaa), siyo mimi tu hata marehemu Kanumba (Steven) na wengine, hivyo siwezi kuacha kumrudishia shukrani zangu,” aliweka nukta Johari.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad