Maskini Ray C Alia kwa Uchungu Baada ya Kunyimwa Tiba ya Methadone (Video)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rehema Chalamila aka Ray C amejikuta akishindwa kujizuia kulia baada ya kunyimwa dawa ya Methadone ambayo amekuwa akiitumia kwa miaka miwili sasa ili kumsaidia kuondokana na addiction ya madawa ya kulevya.


Ray C amepost video kwenye Instagram ambazo kwa zinaendelea kusambaa kwenye mtandao huo akilia kwa uchungu.

“Nashindwa kuvumilia,” anasikika akisema. “Mpaka sasa nipo hapa kitengo cha madawa na sijapewa dawa, kwa sababu nilipost ile post nyingine wamenifanyia makusudi. Sasa mimi nikikosa madawa wanataka nirudi kwenye kuvuta unga,” amehoji muimbaji huyo.

Ray C aliendelea kudai kuwa mwili unamuuma pamoja na mifupa huku akishindwa kujua afanye nini ili kukabiliana na hali hiyo ambayo amedai inamtesa.

Bongo5
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. this is not fair, hiyo misaada inatolewa bure, why Tanzanian people have to suffer? i hate Tanzania so much. Kila kitu lazima mfanya deal. sisi tunaoo lipa tax zebu huku na kusaidia watanzania wezetu halafu watu wenye uroho wa rushuwa ndio wanataka kuuzia wananchi. mnataka waende wapi sara wakavute unga tena??? This bullshit have to stop. Acheni kunyanyasa watu bwana those medication is of Tanzanian people who need help, and it was suppose to be free.

    ReplyDelete
  2. Halafu mkiulizwa mnasema Bongo mambo poa mambo poa ni kwenye group la mafisadi wachache sana wengi bado wanateseka na hiyo fucking system no wonder mtu akipata chance anaingia mitini bongo anaukimbia moto wether you like it or not but's the reality

    ReplyDelete
  3. Kwa kweli mie nimesikitika sana sana hasa pale anapolia ryc na kusema kuwa wanajua kuwa asipopata dawa hiyo mwili unakuwaje,mifupa nayo pia,,watanzania mbona tunakuwa na roho mbaya hivyo,,imagine leo atalalaje ryc,,,pole sana dada

    ReplyDelete
  4. Kiukweli hao wahusika wa hicho kitengo hawasitahili kuwepo kabisa, maana hawajitambui na hwana roho ya ubinadamu hata kidogo. Lakini watambue malipo ni hapa hapa duniani,wache tu wajifanye miungu watu ipo siku yatawageukia. Pole sana Ray C Mungu akutie nguvu never giveup

    ReplyDelete
  5. Fucking you guyz mnaohusika na utoaji wa madawa hayo! Mbona mna roho mbaya sana aisee hiyo yote ni uroho wa pesa yaani tayari nanyi mmegundua dili. Ndiyo maana Tanzania hata Muhifadhi maiti naye anataka ahongwe ndiyo afanye kazi yake...Pumbavu sanaa na Serikali inaangalia tuuu.

    ReplyDelete
  6. Na njie wasafirishaji au waletaji wauzaji wa hii midawa ya kulevya, jamaani mnaona madhala yake haya lakini, Taifa linabidi ligharamie kwa hayo kutibu Raia wake, nyinyi mmekazana kuleta na mnakula starehe zenu watu wanangamia, Na hao watoaji wa hizo dawa wawasaidie wenzenu, ndio hivyo tena walisha potea na wanaitaji misaada ya kusaidiwa

    ReplyDelete
  7. Hawa watu waliohusika na kumyima dawa wanatakiwa wasimamishwe kazi mara moja maana mchango anaotoa huyu mama katika kuwasaidia watumia madawa ya kulevya lazima wauheshimu. Haya ndiyo matatizo ya Tanzania siyo watu wananyasika kwa hilo tu hata kwenye madawa ya ARV watu wananyaswa saana. Wahusika wanayafikiria maslahi ya matumbo yao tu lakini siyo ya nchi na wananchi wake.

    ReplyDelete
  8. kuma tu huyo anatafuta kiki tuu malaya huyo

    ReplyDelete

Top Post Ad