Membe Akanusha kuwa na Undugu wa Damu na Kikwete

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe amekanusha uvumi ambao umekuwa ukienezwa kuwa yeye na  Rais Jakaya Kikwete ni ndugu wa damu.

Membe amesema kuwa japo wanafanana kwa sura lakini hawana uhusiano wowote wa kibaiolojia.

Mhe. Membe alikanusha uvumi huo  jana Mjini Dodoma wakati akichukua fomu za kuwania urais kwa tiketi ya CCM, ambapo pamoja na mambo mengine alisema ataimarisha viwanda vidogo na vya kati.

Kada mwingine wa CCM aliyechukua fomu za kuwania urais hii jana ni Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina ambaye amesema vipaumbele vyake vitakuwa ni kuboresha ukusanyaji wa kodi pamoja na usimamizi thabiti wa mapato ya kodi ili taifa liondokane na utegemezi
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad