Mwana FA aliokoa Maisha yangu Kipindi Nimekata Tamaa na Kutaka Kujiua – Diva

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtangazaji wa Clouds FM, Diva The Bawse ana mengi ya kusimulia kuhusu maisha yake.

Diva amedai kuwa kama asingekuwa Mwana FA, leo hii angekuwa ‘marehemu.’

“Wakati naanza kazi ya utangazaji mwaka wa pili tu toka nianze kazi hio, niliumia sana na maneno ya uzushi and nilianza kazi kwenye age ndogo. A one point in my life, I wanted to commit suicide, mapenzi hata hayakuwa sababu,” ameandika Diva kwenye mtandao wa Instagram.


  • “Umaarufu wa ghafla ulikuja na side 1 nzuri na side ya pili ya negativity za watu wenye wivu. Now I know ‘envy is the new hate ryt?! What would happen if I just didn’t wake up? Felt like that, it was like ‘ maybe I should just take my life and then a single status on facebook maana I was all alone and msongo wa mawazo ulizidi. Nikawa nishalia sana, nilikuwa msafi sana, too polite and nafsi ikaumia na maneno ya watu. It was like maybe I should just take my life,” ameongeza.



  • “Then simu ikaita, a call from @mwanafa akiwa yuko Uingereza anasoma, ikaita’ then sikupokea coz nilijua Hamisi man, atanipa maneno yake ambayo sitaki kuyasikia. Sikupokea’ sikuwa nime log out Facebook, then akanicheck with Plsssss I need to talk to you… akapigaaaa… then nikapokea. Sauti yenyewe ilishakauka na kilio na nilichoka sana.



  • Moyo ulikuwa hauna raha and mambo yalikuwa ni mengi mno. Tthen he said, ‘I know how you feel.’



  • Then for hours and hours alifanya kila njia kubadili mawazo yangu hasi kuwa chanya, sababu ananijua vizuri alijua jinsi ya kuongea na mimi hadi mawazo hasi yakarudi kuwa chanya na tabasamu. My heart ilikuwa at peace ghafla, sababu aliongea vitu ambavyo hamna aliyewahi kuongea na mimi in life. Hakuna alienielewa but @mwanafa wangu saved My life. Am this strong in life. He made me .. created this person anayendika this status saa hizi.”



  • “Kama sio yeye, ningekuwa dead and gone right about now, amma strong mfs, now you guys know why I love him so much. My cousin’ my binamu wa pekee … my hamisi .. my brother .. my everything … the love I have for you is too deep. Hamna mwanaume naweza mpenda like that. Hawa wote huwa wananikimbia but you always there for better for worse. So proud to have you in my life, you saved me ‘ it was one dead end after another”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wanaotaka kujiua hawachange mind,hulikua huna nia tuondelee uzushi wako.

    ReplyDelete
  2. MIYE HATA SIMUELEWI

    ReplyDelete

Top Post Ad