Mwanamuziki Diamond Ampa Makavu Live WEMA SEPETU..Adai Anaitaji Kubadilika..'Jana Katangaza Kuwania Ubunge Lakini Bado Anashadadia Ugomvi wa Diamond na Davido'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Dimond: Wema and Her Team Must change- Wema for MP...
This is Diamond comment on Wema regarding her motives to MJENGONI

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. toka lini Domo aandike hivi kwa Wema? au kakosea jamani, si alikuwa anamponda sana kumbe kiroho bado kinadunda hahaaaa.

    ReplyDelete
  2. DAI ANAANZA KUJIRUDISHA AU DANGANYA TOTO TUU. OK SISI YETU MACHO.

    ReplyDelete
  3. sasa shangazi zari akiona hiyo msm si wivu utaanza na ugonvi utakuja, au ndo baby come back

    ReplyDelete
  4. hana sababu zakujipendekeza hebu soma na uelewe anamaana gani-ila sizani km hii post inatoka kwake

    ReplyDelete
  5. Na nyie wote ndo mmeamini km hiyo ni account ya Diamond,mnakurupuka km wanavyokurupuka hawa wadaku....huhuhuhu

    ReplyDelete
  6. kabla ya kucomment hebu jaribuni kutembelea page zote za insta,twitter na facebook munone kama diamond kaandiko huo ujumbe.Hapa ndipo utagundua kuna blog na watu wanaotaka kumuaribia dogo Diamond hajaaindika huo upuuz ktk age yake yoyote.

    ReplyDelete
  7. Hyo acc sio ya diamond chunguza spelling inakua kam ile acc mliosema ya wema imemtukana zari mimba ya foot lakn sio acc zao chunguzen b4 kutoa habar

    ReplyDelete
  8. SIO COMMENT YA DIAMOND!!!

    ReplyDelete
  9. nami naamini hiyo acc siyo ya DAI ila kama ni yeye anajaribu kumshauri Wema ili kama atafaniliwa ajitahidi kuwa na maadili mema mjengoni, makundi wakati mwingine siyo deal

    ReplyDelete
  10. hii sio comment ya diamond. na kama ndio kweli kaandika hivyo he can then take the express flight to hell

    ReplyDelete
  11. acc ya diamond insta ni diamondplatinumz sio diamondiplatinumz

    ReplyDelete

Top Post Ad