Mwanamuziki MABESTE Aomba Radhi Baada ya Mkewe Kumshambulia Mtandaoni Mwanamuziki JUMA JUX Alipopata Tuzo ya Kill Music

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Mkewe Kumshutuma Mwanamuziki JUMA JUX kwa Kutokutoa Shukrani kwa Mabeste ambae alitunga wimbo wa sisikii uliyochukua Tuzo ya Kill Music ...Mabeste Naye Aliingia Mtandaoni na kuandika Haya Hapa chini:

'Wandugu wote mnajua mke wangu ana tatizo la kisaikolojia...hayupo katika hali yake ya kawaida kama vile zamani bado anaendelea na matibabu ya kisaikolojia....alichokiandika naeza sema ni moja psychological disease aliyo nayo....na awali nilishasema akipata habari mbaya ndivyo anavyokua ana over react na hata kupelekea kuzimia au kukakamaa mwili....habari za KTMA alikua hazijui Leo tu kaangalia Tv kaona...then akawa disappointed akachange ghafla hata time hii ka change ka kakamaa na ikimtokea hiyo hali anakua kama MTU mwenye kifafa so hapa nilipo bado Nina deal na hii situation maana inamchukua mda sana Ku recover! Naomba msimuhukum wala msicomment chochote kibaya kwa page yake we all know hayuko sawa! Hii ndio sababu uwa sikai mbali nae nahakikisha mda wote Niko nae hakuna anaye eza mhandle zaidi yangu! Bahati mbaya sikua karibu nae nilisindikiza wageni!! Normally hana tabia hiyo ila anashindwa control temper coz tayari yuko affected ... Sikatai kakosea ila pia muelewe hayuko sawa kisaikolojia na nilishasema haya before! Nimepata wakati mgum pia maana anacho Ki face nakijua Mimi tu.pia nawaomba msamaha kwa niaba yake na yeyote aliye ghadhafika juu ya hili...na mimi ndio niliyefuta ile post kwa page yake @juma_jux'
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kasema ukweli bwana wee kakosea nini? Watu waso shukran lazima waambiwe ukweli uwe umelipwa hizo 2m hujalipwa sio issue, issue ni nani mtunzi wa nyimbo.

    ReplyDelete
  2. we na mkeo ni masikinini tuu endeleeni kuchangisha bakuli akatibiwe

    ReplyDelete
    Replies
    1. what wrong with you jamani huna hata utu utawezaje sema hivi .Mungu atakulaani kwa hiki ulichocoment

      Delete
    2. nyoo we ndo mackini af hujajijua ka n mackini mpaka uambiwe kafe mbele

      Delete
  3. Anonymous 9:47... Mungu akusamehe tuu maana hata wewe umaskini ulionao Ni wa hatari zaidi! Huna tofauti na Faiza mtembea uchiii

    ReplyDelete
  4. Ww uliyecomment apo juu usitukane mamba kabla hujavuka mto hajapenda mkewe kuwa ivyo na si masikini ww ndo masikini haswaaaaaaa wa kila kitu ungekuwa tajiri ata ayo maneno ya kuandika ivyo ungekosa Mungu atakugeuzia ww utashangaaa

    ReplyDelete
  5. Tunamuombea apone kabisa Mungu yupo

    ReplyDelete
  6. MABESTE acha kuwa mtumwa, mkeo kasema ukweli sasa wewe wamwogopa nani?????

    ReplyDelete
  7. pumbavu huyo tajiri anatafuta nn humu unadhiilisha ni jinsi gani ulivyo masikini hata wa akili stupid

    ReplyDelete
  8. hongera kaka!!!!!! mabeste ametumia hekima na busara kubwa ili ku-avoid maneno na comment mbaya kutoka kwa fans wake kwenda kwa fans wa jux.....ila kiukweli kaka mabeste ulistahili kupewa shout outs nying sana toka kwa jux...! jux must admitt that..!

    ReplyDelete
  9. jux hana shukrani but pole mabeste ndo mana ha2kuckii mungu atamponya mama watoto

    ReplyDelete
  10. LAKINI MIYE NAONA MKEO KASEMA UKWELI !!!

    ReplyDelete
  11. HUYO MWANAMKE HAKUPASWA KUONGEA HIVYO. TENDA WEMA NENDA ZAKO. HATA YEYE WALE WALIOMCHANGIA PESA ZA MATIBABU JE ATAWEZA KUWARUDISHIA WEMA WOTE.? KAKOSEA ANAPASWA KUONYWA. MSIMUOGOPE .KAKOSEA TU.

    ReplyDelete
    Replies
    1. we kweli mburula, umesamehe madeni mangapi mpaka sasa? usichekeshe umati wakati hata mia unakuwa mchungu

      Delete

Top Post Ad