Nimemtafutia Kazi Mdogo Wangu Sasa Anakataa Kutoa Penzi kwa Bosi, Mimi Nimfanyeje?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nina mdogo wangu wa kike, ni wa mwisho kwetu kuzaliwa, amemaliza chuo miaka 2 iliyopita hakua amepata kazi, amekua nyumbani tu muda wote huo. Kwa kweli for the past two years nimetembea sana kwenye mashirika mbali mbali kumtafutia kazi bila mafanikio. Hadi ilipofika December mwaka Jana nilipomlilia hali bosi mmoja ambae tuna muingiliano wa kikazi katika mashirika yetu.

Mimi huenda kwenye shirika hilo kila mwisho wa mwezi kwa mambo yahusuyo hesabu za shirika za mzee huyu mwenye roho nzuri, akaongea na HR manager wa hapo na hatimae mdogo wangu akaingia kazini baada ya mchujo wa karibu watu 1500 katika mtihani wewe kuandika baadae oral kwa kweli ilikua muujiza.

Sasa amebakiza wiki moja amalize probation, miezi miwili iliyopita bosi wake alimwomba uhusiano na mdogo wangu akamkataa akamwambia yeye ana mtu wake, yule bwana hajakata tamaa ameendelea kumkumbushia jambo hilo binti hadi sasa yule bwana kuona hali imeshindikana akamuita na kumwambia wazi kwamba kama unakataa ombi langu basi sitalipeleka jina lako kwa ajili ya confirmation, akasema anayo sababu nyingine ya kisheria ya kutom confirm.

Hivyo kazi yake ipo hatarini, sasa amelileta rasmi kwangu kuona tunafanyaje kuokoa hii hali, mimi nikamwambia akubali tu kuwa nae haitampunguzia chochote, nikamshauri wazi tu kwamba maisha wakati mwingine ni lazima ujitoe sadaka mwenyewe, watu wote waliofanikiwa wamepita njia ngumu sana na hata wakikueleza huwezi amini ni siri ya mtu moyoni.

Nimejaribu kumpa mifano mingi ya wanawake waliofanikiwa na anaowaona wamekalia viti vikubwa asilimia tisini ni pichu
Lakini binti kasema yeye hawezi kufanya hivyo acha akose tu kazi kwamba ana mtu wake. Kwa kweli nimekasirika sana kwa kitendo hicho, yule mzee alienisaidia pia anaungana nami kwa hili, sasa basi nimemwambia binti kama akipoteza hiyo kazi kwa ujinga wake sitaki kumuona hata kwangu, arudi kijijini kabisa kwa wazazi, maana amewapigia simu kama vile kunisemea vibaya kwa ndugu mbali mbali.

Huyu mtu wake mwenyewe ni fake balaa, huwa tunakutana sana mjini humu akiwa na magumashi kibao sema tu namna gani vipi mambo ya kiume, ana faulo kibao tu. Yaani kwa kweli nimekasirika sana, mimi mwenyewe kazini kwangu nakimbilia hadi begi la bosi wangu kwenye gari asubuhi akifika kama mtoto, yote hiyo ni kujipendekeza ili mambo yaende. Mwaka juzi kuna bosi wangu mwanamke mbaya wa sura kama nini, mumewe alikua na kisukari, kila watu wakiondoka tunajifungia ofisini, lakini nilivumilia hadi alipohamishwa na sasa hivi naishi poa kazini, yote ni kulinda kazi.

Sasa najua wazi huyo bosi wake atatekeleza hicho kitisho anachotoa, hr siku zote wanapokea mapendekezo kutoka kwa line manager, akisema staff huyu ameshindwa probation HR hawezi kufosi, na hii mbinu inatumika sana hasa kwa new comers, huwezi kuruka, labda Mungu akusaidie usitongozwe na bosi yoyote.

Source:JF
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mm naungana mia kwa mia na hako kabinti. Wewe dada yake kama umeamua kuwa malaya usimlazimishe na yy akawe kama wewe. Mbona unakuwa kama hujaenda shule? Huna busara hata kidogo!!. Vinginevyo binti weka mtego na udaku tuone kama na huyo bosi atabaki kazini. Dunia imejaa maradhi bado unamtoa mdogo wako mganga??!!!. Ushindwe na ulaaniwe. Nenda kalale nae wewe basi ili uokoe kazi ya mdogo wako. Shame on you...

    ReplyDelete
  2. IQ NDOGO KAMA YAKO NDO UTAISH KWA KUJPENDEKEZA SO WEWE UNAVYOONEKANA HATA UKIAMBIWA UTOE MKU#### UNATOA KISA UNALINDA KIBARUA C BURE WEWE LABDA UNA VYETI FEKI PUMB''''''''''''V! MDOGO WAKO ANAKILI NA ANAJITAMBUA NDO MAANA KAMTOLEA NJE HUYO BOSS UCHWARA WAKO NAMPA BIG UP SANA! AMETUMIA BUSARA KUMCHOMOLE HUYO MSHENZI! MLANGO MMOJA UKIFUNGWA BAS MWNGNE UTAFUNGULIWA UKIWA NA NEEMA ZAID! KWA HYO WE MBURURA BADILKA ACHA UJINGA MAISHA MJIN NI UBUNFU NA JITIHADA SIO KJIPENDEKEZA UTASHKISHWA UKUTA ONE DAY!

    ReplyDelete
  3. Usimlazimishe ng'ombe kunywa maji maadam kashafika mtoni kama ana kiu atayanywa tu. Unapaswa kuwa mfano bora kwa mdogo wako sasa kwa ushauri huo unafikiri anajifunza nini kutoka kwako? Hayo maneno ya hako kabosi feki ni sawa na maneno ya mkosaji ndo maana kanatapatapa kwa tambo za kumtishia kumfuta kazi huku kakimpima msimamo wake. Mdogo wako anakushinda maarifa kwa uaminifu aliouonyesha hakika Mungu hawezi kumtupa kwa neema utashangaa kazini atathibitishwa na hako ka bozi feki katabaki na aibu zake za tabia za ukahaba unafikiri kana tofauti gani na makahaba wenzake walioko kwenye madanguro? Na wewe dada mtu ifikie kipindi ujitambue kwamba utu wako ni wa thamani kuliko hiyo tabia uliyoiendekeza vinginevyo huna tofauti na mfu aliye hai.

    ReplyDelete
  4. Aweke ushahidi ili anaswe na pccb. Hiyo ni rushwa ys mapenzi

    ReplyDelete
  5. Nyambafu zenu, mnatoa mikundu kwa wajinga wajinga tu kitaani kwenu tena ambao hawana hata uelekeo afu bosi anayekupa maisha unambania, utakuta hicho kibinti kipo mitaa kinauza kum*** toeni mizigo sehemu zenye fursa nyambafu zenu wote.!!fuatilieni mabinti wote zaidi ya asilimia 80 wametoa kum*** sehem zenye fursa na sasa wana enjoy.!! bhana iliwe na wajinga wajinga

    ReplyDelete
  6. Mbona watu hapa wamelekeza kwa mwanamke, kama mtoa habari hii, ukisoma mpaka mwisho utagundua, mtoa hii habari sio mwanamke ni mwanmme, dume zima lataka mpotosha dada yake, kwa kukosa marifa, muwapende dada zenu na mama zenu, sio mnakuwa midume ya kukosa adabu

    ReplyDelete

Top Post Ad