Rais wa Burundi Nkurunzinza Asalimu Amri...Aamua Kuhairisha Uchaguzi Mkuu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Serikali ya Burundi imetangaza kuwa uchaguzi wa rais na wabunge uliotarajiwa kufanyika Ijumaa hii umehairishwa mpaka tarehe nyingine itakapopangwa.

Msemaji wa rais Nkurunzinza,Wily Nyamitwe amesema  kuwa tarehe itapangwa na wasimamizi wa uchaguzi wa nchi hiyo.

Mabadiliko hayo yamekuja kutokana na taifa hilo kuingia kwenye machafuko tangu Rais Piere Nkurunzinza kutangaza nia ya kuongoza kwa awamu ya tatu baada ya kuwa rais kwa miaka 10.

Umoja wa Mataifa imeelezea jinsi mgogoro huo ulivyoongeza idadi ya wakimbizi wanaoikimbia Burundi na kukimbilia nchini Tanzania.

Hata hivyo umoja wa Afrika mashariki unadaiwa kushindwa  kutoa amri dhidi ya Rais Nurunziza kutokana na kutaka kujiongezea muda wa kukaa madarakani kinyume  na katiba ya nchi hiyo suala linalopingwa vikali na wananchi wa nchi hiyo.


Tanzania Hottest Celebrity Gossip News
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. LIKE FELLA KUTI ONCE SANG "VAGABONDS IN POWER"

    ReplyDelete

Top Post Ad