Tamaa ya Kuwa na MAKALIO Makubwa Yamsababishia Kifo Msichana Huyu Mrembo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ishu ya wasichana na wanawake kupenda kuongeza maumbile ya miili yao limekua kama ishu ambayo imechukua sana nafasi sehemu mbalimbali duniani.
Tunashuhudia watu wengi wakiongeza makalio kwa kusudi la kuwa wenye mvuto zaidi, na kumekuwepo na vidonge na sasa kuna sindano za kuongeza makalio.

Leo nimekutana na stori iliyotokea Los Angeles Marekani, ambako msichana Kelly Mayhew mwenye miaka 34 amefariki baada ya kufikishwa St.John’s Espiscopal Hospital, muda mfupi baada ya kuchomwa sindano ya kuongeza makalio.

Kelly Mayhew na mama yake walisafiri kutoka Maryland kwenda Rockaway, walikokua wameelekezwa na rafiki yake Kelly ili kwenda kuchoma sindano hiyo ambayo ilikua inatolewa kinyume na utaratibu… mtoaji wa huduma hiyo alijiita daktari lakini hakuwa amesajiliwa na alikuwa hatambuliki kisheria.

Baada ya kuchomwa sindano hiyo, Kelly alianza kupumua kwa shida, akawa anajitupa ovyo chini huku akiishiwa pumzi… baada ya kuhangaika kwa kama dakika ishirini hivi, Kelly alifariki akiwa kwenye mikono ya mama yake.. mpaka Polisi wanafika eneo hilo Daktari alikuwa tayari kashakimbia.

Tanzania Hottest Celebrity Gossip New
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sasa unatueleza athari za kutaka matako feki ili hali Blog nzma umejaza matangazo ya namna ya kupata matako feki so mwenye akili aongeze na za mbayuwayu c ndio! AKINA DADA AMKEN? MAISHA SIO MATAKO FEKI MAISHA NI UBUNIFU NA WELEDI WA KUPAMBANUA MAMBO ILI UPATE GENUINE DEVELOPMENT AND NOT OTHERWISE!

    ReplyDelete
    Replies
    1. nimekukubali mdau. you are very right, maisha sio kuwa na shape wanayoiita nzuri!

      Delete
  2. yale ni matangazo tu wanalipia kuwekwa humu ila ukipenda kutumia ni kwa your own risk

    ReplyDelete

Top Post Ad