Umefika Wakati wa Babu Tale na Salim Kumsaidia Mdogo Wenu ALI KIBA..Haijalishi Aliwakosea Kiasi Gani..Huu Sio wakati wa Kuvimbishiana Misuli

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tafadhali naomba mnisikilize saaana #

@babutale @salaam_sk @officialalikiba
Umefika wakati wa babutale na salim kumsaidia mdogo wenu ali # haijalishi aliwakosea kwa kiasi gani au mnasahau maneno ya wahenga kua mtoto akinyea mavi mkono wako hauukati bali unausafisha tu.

Sasa huu ni wakati wa kuhamisha nguvu mlizo kua mnaziweka kwa dai mziweke na kwa ali kiba kwani kwa sasa kila kitu kiko wazi kua mipango na management yenye maana ndio nguzo pekee ya kufika mbali kwa mziki wa watanzania.

Huu sio wakati wa kuvimbishiana misuli na kuanza kujinadi wakati ukweli wa mambo uko wazii#

Mimi naongea kama mtamzania hapa #hebu fikiria kwenye tuzo hizi za MTV tungekua na @diamondplatnumz ma pembeni @officialalikiba unadhania tungekua tunajiskiaje hapoo kama sio raha iliojaa na faraja ya kutosha.

@babutale @salaam_sk nyie sasa ni wazazi na sio watoto ambao wanataka kumkomesha mtu au kutaka sifa ya upande mmoja #kikubwa ninachota ni kimuita alikiba kwa njia yoyote na atake asitake lazima akubaliane na ukweli kua nyie mumpe muongozo aweze kufika hapo alipo dai.

Katika maisha haitakiwi kua na tegemeo moja au haitakiwi kua na nguzo moja kwa bahati mbaya ikianguka tutafanyaje sisi au mnataka yatukute kama kwenye bongo movie? Kanumba kaindoka na ujuzi wake woote leo hakuna kitu labisaaaa.

Mpaka mm nimeamua kuchukua maamuzi magumu kuingia kwenye bongo movie ilia kujaribu kuinusuri lakini wapiiiii .ila kama tungeweza kuwaandaa watu kama kina kanumba kabla hajafa leo tusinge kua tunalalamika kuhusu bongo movie .

Sasa hii hali hatutaki itokee kwenye muziki wetu ,nasema kwa njia yoyote @salaam_sk na @babutale mtawajinika katika hiliii

Na mungu awahukumu kama mtaendelea kumuacha mdogo wenu ali akijikongoja wakati uwezo wa kumshika mkono mnao na mnapaswa kufanya hivyoooo .kikunwa ni kumsamehe yeye bado mdogo kwenu na mnajua sifa kubwa ya watoto hua hawakubali kama wamekose ila baadae ataona tu ukweli.

@officialalikiba tafadhali ndugu yangu wewe ni wa nyumbani na dai ni wa nyumbani .hebu acheni huo mvutano usio na maana #tazama leo MTV kama ungekuawepo wewe na dai yaaani wangetuheshimu jamani .mimi ninacho kitaka haraka. Masaidieni ali kiba HARAKA
view all 57 comments
chegu_evara@mwinjaku kaka umeongea point sana kwani dai tumeshajua ni mkali hapa TZ na hata AFRICA je nani atakayefuata kama cyo ally plz watz tuamke na tuwape support kwn mziiki wetu ndo kwanza tunaanza kuupeperusha.

By Mwinjaku
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. alikiba mi naona tatizo lipo kwake yy mwenyewe kujitambua kwa jinsi ninavyomuona hajui anahitaji nini nakumbuka diamond ktk intv ya mkasi diamond alisema yy mwenyewe aliwafuata said fella na babu tale wamsaidie kummanage cha msingi mi naona ajitambue.alafu mi naona hizi team zinaua mziki wetu kama mfuatiliaji mzuri diamond na kiba nyimbo zao zinapata sana airplay hata kama nyimbo ya kawaida lkn angalia hivi kalibuni nyimbo ya shebby love - baikoko,jafarai ft kasim mganga-wakati,christian bella-nashindwa,kasim mganga ft bella nyimbo nzuri hazipati airplay na bahati mbaya mpaka wasanini nao wamegawanyika,media nazo zimegawanyika ktk team hz za kiba na diamond zinaua mziki

    ReplyDelete
  2. Kwanini Ali? Kwani hakuna wasanii wengine huwaoni kina Barnaba,Ben Pol,Belle9 ye kiba si anajifanya King? Kilichompoza Ali kukaa kimya muda halafu anarudi kwa mbwembwe,game siku hizi limechange mashabiki wanamplekesha kushindana Na Dai atafika tu lakini si kwa mwendo huo akumbuke pia Kuna nyota!

    ReplyDelete
  3. Kwani Kiba ninani? Kama unamsikitikia na unataka kuleta U Tanzania, kwa nini usimsaidie wewe mwenye? Mwacheni aimbe vichochoroni, ama sivyo ajitume... na wewe mwnandishi acha kuropoka kama mtu aliyetapikwa

    ReplyDelete
  4. Kwani msanii ni Kiba peke yake? Mbona wasanii wengi wanahitaji kusaidiwa nyie ndo mnmpa kichwa mpaka anajilinganisha Na Dai,Ali zama zake zilishapita anaforce matokeo yake anakuwa Kama underground Leo hii Kiba anabembelezewa ainuliwe kweli? Aibu kwa msanii mkongwe Kama yeye.

    ReplyDelete
  5. bora awasaidie yamoto band na anawasaidia sasa hivi anawalipia pesa ya video ili ifanyike south africa kuliko amsaidie huyo kiba ambaye alitaka kumshusha mziki mwenzake kisa yeye amerudi na kumtupia makopo na kumzomea kumbe shuu mungu ndie anayepanga icho ki kiba kinaonekana kin roho mbaya ya chini chini mwacheni awe king kiba wa kariakoo diamond is INTERNATIONAL BABY!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad