WEMA SEPETU Awashukia na Kuwapa Vidonge vyao Waandaji wa Instagram Kwa Kutokumlipa Mzee Majuto

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wema Sepetu Amefunguka kwenye Ukurasa wake wa Instagram akiwachana waandaji wa Instagram Parties Kwa Kutokumlipa Mzee Majuto Pesa zake baaada ya Wema Kuwaunganishia Mzee Huyo ili Aje kwenye Party yao iliyofanyika week end iliyopita Hapa Dar es Salaaam.....Ameandika Hivi:


  • Waandaaji wa Instagram party sijawapenda kiukweli... Mpaka nimefkia hatua ya kuandika basi mjue kuwa mmenikwaza... Mlikuja kwangu na mkaniomba niwatafutie Huyu Mzee wa watu... Kwa moyo mmoja nilifanya hivyo, Iweje leo hii kashamaliza kazi msitake kumlipa hela yake... Baba wa watu katoka Tanga na nauli yake, mpaka hotel kajilipia mwenyewe.... Mimi sipendi lawama jamani... Sana sana ikiwa ni kwa wasanii wenzangu... Sasa hivi naonekana mbaya mimi maana mimi ndo niliewaunganisha na huyu Baba wa watu... Hawawajui nyie ananijua mimi..... Na kaja kwa heshima yangu.... Hizo ni dhulma na sio vizuri kumfanyia hivyo Mzee wa watu... Namuheshimu sana na siwezi kumkosea heshima kiasi hicho... Ila hakuna neno tumwachie Mungu sio..... @instagrampartytz @instagrampartytz ... Kiukweli siwezi kuja kufanya kazi na watu kama nyie at all.... You are nat Loyal..... Plz repost it.....
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad