Wema Sepetu na Jokate Mwegelo Waongea Lugha Moja Kusherehekea Ushindi wa Alikiba!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Alikiba na Jokate wanadaiwa kuwa na uhusiano. Wema amekuwa upande wa Kiba tangu kuachana na Diamond na wengi wamekuwa wakikichukulia kama ni kisasi.
Baada ya ushindi huo warembo hao walitumia Instagram kutoa pongezi zao.
“Hongera sana cherie @officialalikiba kwa kujishindia tuzo sita jana usiku kwenye kiba Tanzania music awards (KTMA) sorry Kilimanjaro Tanzania music awards 2015. Teh teh the,” aliandika Jokate.
“Ni kitu cha kumshukuru Mungu ulikaa kimya miaka 3 ila ukarudi na wimbo mmoja ukatuteka tena. Kusema ukweli tukiachilia mbali ushabiki ‘mwana’ ulituliza akili na ukafanya vizuri sana nchini. Mashabiki wanakupenda. Sana. Mpole hivi, mcheshi, mstaarabu. Na unajua mziki. Tunakuombea sasa hii iwe motisha ya wewe kufika mbali zaidi. Ndio kwanza safari imeanza. Uzuri unaomba mungu so najua hata kutupa. Ila kaza mwana we kazaaa!!! We are behind you,” aliongeza.
Naye Wema aliandika: Nilitaka zote saba ila hata 6 pia sio mbaya…. #KingKiba…. Umetisha.”
Jokate pia amepost picha akiwa na Wema na kuandika: It’s a beautiful and powerful thing when strong girls come together. emojiemojiemoji️. With The Sweetheart @wemasepetu.”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mondi kagonga wote hawa

    ReplyDelete
  2. sita au tano? sijaelewa

    ReplyDelete
  3. Mondi kagonga na Ali Kiba pia kagonga. Nasikia wakikaa wana compare notes. Hahahahaha

    ReplyDelete
  4. Kiba is a man and he deserves a respect, for past long years ago were women who were talkative but now are men who has challenged women. It is stupidly as a man to talk about your ex-girlfriend about what u have done during your relationship. that's why many girls are praising for Kiba

    ReplyDelete
  5. Wake wenza hao ila Jokate nilikuwa namuona Classic kumbe looh bora Penny anaishi maisha yake wala hababaikii mtu ndo alitakiwa jojo awe hivyo huyo Wema sawa tu hayo ndo maisha yake ya Drama maana ye maisha yake yanategemea Drama.

    ReplyDelete
  6. Anonymous 12:24 tafuta mwalimu wa grammer. Au na ww kiswahili kinagoma kama cha wema??

    ReplyDelete
  7. Hao malaya wazee wanaitwaje vile.....ah ni kioo cha jamii(Ma mama huruma wa Dar hao wao kupanua "K"zao hawana mkole)

    ReplyDelete
  8. Sasa wanamzomea mtu wakati hakuwepo??!! Hata iweje.. mondi kawakojolea wote wawili tena mbele na nyuma. Mtabaki mnazomea lakini the fact stays. Hapo mwenye akili Penny ambae kaamua kuwa kwenye low profile. Maisha yamewachanganya hao. Sasa wanajaribu kwa Ali Kiba. Huyo Wema kaamua kwenda kujaribu kuuza k*ma Kizota kupitia Singida. Hivi watu wa Singida watakuwa na mawazo hafifu mpaka wabugi stepu wamchague Wema?? Hahahahaha

    ReplyDelete
  9. Sasa wanamzomea mtu wakati hakuwepo??!! Hata iweje.. mondi kawakojolea wote wawili tena mbele na nyuma. Mtabaki mnazomea lakini the fact stays. Hapo mwenye akili Penny ambae kaamua kuwa kwenye low profile. Maisha yamewachanganya hao. Sasa wanajaribu kwa Ali Kiba. Huyo Wema kaamua kwenda kujaribu kuuza k*ma Kizota kupitia Singida. Hivi watu wa Singida watakuwa na mawazo hafifu mpaka wabugi stepu wamchague Wema?? Hahahahaha

    ReplyDelete
  10. Siku ile ya Diamonds are forever Dai alimkomesha Wema mpaka akaangua kilio like aliefiwa. Dai akahamia kwa Jokate. Kagonga muda mfupi akaamua kurudi kwa Wema. Wema akampanuliaje sasa. Leo hii wamekutana katika uwanja wao wa mmoja kutemwa mmoja kuopolewa. Eti wanamzomea rijali aliewa*mb* mpaka alipokinahi mwenyewe. Haahahhaha.

    ReplyDelete
  11. Eti Mondi kati ya hawa machangu, kishimo cha nani kina uvundo mkali?? Hahaha na m*und* wa yupi uko wazi zaidi ya mwingine???

    ReplyDelete

Top Post Ad