Kamanda wa Al Shabaab Aliyeongoza Mauaji ya Wanafunzi 148 Garissa University Kenya Hajafa Kama Serekali ya Kenya ilivyotangaza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ni siku moja tu imepita toka Serekali ya Kenya Kutangaza kuwa Gaidi Mohamed Kuno wa Al Shabaab  aliyeongoza mauaji ya wanafuzi 148 Garissa University Ameuwa katika Shambulio lililofanywa na US Drone Huko Somalia..Habari leo zimekuja zingine na kudai kamanda huyo Kamanda bado ni mzima na hajauwawa kama serekali ya Kenya ilivyodai..

Msemaji wa Ndani wa Serekali ya Kenya Mwanda Njoka Ametoa Taarifa kupitia mtandao wa Twitter kuwa shambulio lililofanywa na US huko Somalia Halijafanikiwa Kumuua Mohamed Kuno ambae ndio Gaidi Mkubwa Anayeongoza Katika list ya Magaidi wa Al shabaab Wanaotafutwa kwa udi na Uvumba...

Mwanda Njoka Amewataka wananchi wa Kenya Kuendelea kutoa Taarifa za Gaidi Huyo ili kufanikishwa kukamatwa kwake...

Shamulio lililofanywa na US Drone limeuwa Magaidi 30 huko Samalia.....



----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad