Kauli ya Askofu Gwajima Yamtokea Puani....Aulizwa Malimao Aliyosema Sasa yako Wapi ? Ni Kuhusu Kauli Aliyotoa Arusha Kwenye Mkutano wa LOWASSA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika Mkutano wa Lowassa Huku Arusha wa Kutangaza nia ya Urais Mchungaji Askofu Gwajima wa Kanisa la Ufufuo alikuwa mmoja wa Watu waliopewa nafasi ya kuongea..Askofu Gwajima Alipopewa Kipaza Sauti aliwabeza watu wanaomchukua Lowassa na Kudai Wanaokerwa Wakale Malimao Kwani Lowassa ndio Joshua wa Kuwavusha Watanzania Katika Nchi ya Ahadi ...

Sasa watu mbali mbali wanamuuliza YAKO WAPI MALIMAO ULIYOSEMA?

Angalia Video Hapa Akitoa Vijembe Vyake vya Kula Malimao.......

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad