Nuhu Mziwanda Avurugwa na Ujumbe wa Shilole..Naye Ajibu Mapigo..Amwita Shilole Asha Ngedere

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Shilole Kusema Amechoka na Nuhu Mziwanda kwa Kuwa Haridhiki na Kuamua Kuwasha Gari ..Nuhu Mziwanda kaupata ujumbe wa Shilole naye akaamua Kujibu Hivi:

Mwanaume wa kweli ukaa kimya'sibishani na upumbavu'mwanamke asieridhika na kujua kua kathaminiwa mpaka tatoo kachorwa'na kuvumilia mambo yote alionifanyia ya kuniaibisha mbele ya mashabiki zangu'familia na'wasanii wenzangu na wadau'anaanza kunitukana mitandaoni for whaaaat!!! Mxeeeeew'mimi bado kijana na nna time ya kupata maisha yangu na mtu atakae thamini moyo wangu 'nawaachia wanaume wenzangu na nyie mjaribu zari 'mimi nacheka tu 
#AsHaNgeDerE
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. shilole weee kweli unamwacha nuh ,?? utakuja juta believe me kwako hakuna ha hatakuwepo kama nuh!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad