Taarifa zaidi za kuvamiwa kwa kituo cha polisi Stakishari-Ukonga,polisi wanne kuuawa na kuporwa silaha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

WATU wanaodhaniwa kuwa majambazi wamevamia Kituo cha Polisi Stakishari kilichopo Ukonga jijini Dar es Salaam, jana usiku na kuua askari na raia kisha kupora silaha.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka eneo la tukio zinasema kuwa watu hao walifika kituoni hapo wakiwa katika pikipiki wakidai kwamba walikuwa wamembeba mtu aliyepata ajali wakihitaji msaada wa polisi kabla ya kuwabadilikia ghafla na kuanza kuwashambulia kwa risasi.

Inadaiwa kuwa askari wanne wamepoteza maisha katika tukio hilo, wananchi wawili na mmoja wa magaidi hao.

Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova amesema atakuwa na mkutano na wanahabari kati ya saa 5 au 6 leo kwa ajili ya kutoa taarifa rasmi juu ya tukio hilo la kigaidi.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hicho kituo kinatesa sana raia na kulalamikiwa

    ReplyDelete

Top Post Ad