Tujiulize Maswali Haya Juu ya Uporaji wa SILAHA na Mauji ya Askari Vituo vya Polisi..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hii hali ya polisi kuporwa silaha vituoni inatisha sana kwa sasa.

Hapa kuna maswali machache nimejiuliza bila majibu

1.Ni kwanini waporaji hupendelea vituo vya mjini tu?Hususani Dar na Pwani

2.Kwa nini waporaji hawajishughulishi na vituo vya wilayani huko mkoani,Ingali kwao inakuwa rahisi kutoroka?

3.Kwa nini wanatumia riski kubwa kupora hizo silaha ukizingatia tetesi zilizopo zipo silaha haramu zinauzwaga kwa bei rahisi?

Hili ni jambo la kufanyia utafiti na uchunguzi wa kina,Inawezekana nyuma ya huu uharamia lipo jambo kubwa limejificha.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad