TUZO ya MTV Yampa Kiwewe Kikubwa Diamond...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

BAADA ya kuchukuwa Tuzo ya Mtumbuizaji Bora Afrika mwishoni mwa wiki iliyopita, staa anayetikisa kupitia Ngoma ya Nana, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ameonekana kama kupata kiwewe.
Katika kusheherekea usiku wa tuzo hizo zinazojulikana kama MTV Africa (MAMA), Diamond alitupia picha mbalimbali kwenye mitandao yake ya kijamii na mojawapo ilimuonesha akiwa amelala huku tuzo yake ikiwa pembeni ya kitanda na kufunguka; “Nawashukuru madensa wangu kwani wao ndiyo wamenipika nikapikika hadi leo hii.
Shukrani za kipekee zimfikie mama yangu kipenzi Sandra kwa mafunzo na malezi anayonipa kila siku juu ya dunia,” aliandika Diamond na kufanya mashabiki wengi wamuone kama amepata kiwewe kupata tuzo hiyo huku wengine wakihoji kulikoni mbona hajatoa shukrani kwa baba yake.
Kuonesha kiwewe cha kupata tuzo, Diamond alienda mbali zaidi kwa kuandika; “Shukrani za pekee ziende kwa kipenzi changu, Zari kwa raha na usingizi mwanana anipatiao na kunifanya nizidi kutunga zaidi na kuwa mbunifu.” Katika tuzo aliyochukua Diamond, alikuwa akichuana na wakali wengine kama Big Nuz, Mr. Flavour, Mi Casa pamoja na Toofan
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad