Msanii wa Filamu za kibongo anayeongoza kwa urembo ndani ya tasnia hiyo, Wema Abraham Sepetu, aliyekuwa anagombea Ubunge wa Viti Maalum jimbo la Singida amebwagwa chini baada ya kupata kura 90 tu katika uchaguzi huo.
Mgawanyo wa kura ulikuwa hivi;
1. Aysharose Mattembe (311)
2. Martha Mlata(235)
3. Diana Chilolo(182)
4. Wema Sepetu(90)
Safi. Akauze picha za uchi wake kwenye magazeti. Bungeni wanatakiwa watu wa kazi Kama ester bulaya. Siyo screen show Kama wema sepetu. Na ningeshangaa Sana iwaapo angepita.
ReplyDeletembona siku hizi “NO COMMENTS” watu wanaogopa ?
ReplyDeleteSafi sana, hawezi hata kuongoza sisimizi
ReplyDeletesafi sana, hawezi hata kuuongoza sisimizi
ReplyDeleteusiuzunike Wema umejaribu, na unapawa ya kufanya kingine.
ReplyDeleteWema ni mwanamke jasiri, hakuna liloharibika, fatufa kazi nyingine mpz.
ReplyDeleteHongera Wema wewe ni jasiri umejaribu umeweza ndiyo kwaaanza unaanza si mkongwe wewe na umethubutu
ReplyDeleteDada siasa hazirisishwi. Mbona umekuwa mwigizaji umerith kwa nani. Mama yako hatujawah kumwona akiigiza. Piga pesa kwa kipaji chako cha kuuza sura. Bungeni hakukufai, utalifanya bunge liwe udaku wa sepetu. Na hivyo unavyopenda pesa za wanaume, utawafanya wabunge washindwe kufanya kazi. Wanaotakiwa bungeni Ni wapiganaji Kama ester bulaya. Tunapenda kuona mapaja yako kwenye runinga. Mavazi ya bungeni yatakushinda. Kauzeeeeeee udakuuuu wako. Pole Sana. Wrong choice
ReplyDeletehafai hafai anavyotuharibia dada sasa wanavyo muiga nakumuunga mkono nakumsifu iakiingia bungeni siitakuabalaa itakuwa wadada wotewatembea uchi
ReplyDeleteAanzie kujiongoza kwa kuvaa chupi. Kutoa uroda bure au kukopesha. Kuheshimu ndoa za watu. Kuheshimu mahusiano ya watu na kujikoroga kama jini mahaba. Ku act hajui kiswahili wakati ana matusi kuliko figa eit, Ulevi usio na kiwango.Alitaka kwenda bungeni kutafuta nini? Nasikia kadinda alisha design chupi za kijani na njano ili bibie akauze mbwabwa yake Dodoma. Hahahaha Who says news papers do not write good news. Wema kubali yaishe. ahahahahahahahah. Mange Kimavi jiandae kupigwa chini Kinondoni.
ReplyDelete