CCM Yatangaza Kamati ya Kampeni za Uchaguzi Yenye Watu 32 Chini ya Abdulrahman Kinana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa jana Agosti 17, 2015 katika kikao chake cha siku moja kilichofanyika katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Dokta Jakaya Mrisho Kikwete imekamilisha kazi ya uteuzi wa Wagombea Ubunge katika majimbo mawili ya Singida Mashariki na Kiteto.

Wagombea ubunge walioteuliwa kupeperusha bendera ya CCM katika majimbo hayo ni pamoja na Ndugu Jonathan Njau (Singida Mashariki) na Ndugu Emmanuel Papian John (Kiteto).

Aidha Kamati Kuu imefanya uteuzi wa Kamati ya Kampeni kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015 ambayo itaongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.

Wajumbe wa Kamati hiyo ni kama ifuatavyo;-

1.    Ndugu Abdulrahman Kinana        -    Mwenyekiti
2.    Ndugu Rajab Luhwavi     -    Makamu Mwenyekiti – Bara
3.    Ndugu Vuai Ali Vuai      -     Makamu Mwenyekiti - Z’bar
4.    Ndugu Sofia Simba
5.    Ndugu Mohamed Seif Khatib
6.    Ndugu Asha-Rose Migiro
7.    Ndugu Samwel Sitta
8.    Ndugu Nape Nnauye
9.    Ndugu Mwigulu Nchemba
10.    Ndugu Harrison Mwakyembe
11.    Ndugu January Makamba
12.    Ndugu Amina Makillagi
13.    Ndugu Christopher Ole Sendeka
14.    Ndugu Stephen Wasira
15.    Ndugu Abdallah Bulembo
16.    Ndugu Hadija Aboud
17.    Ndugu Mohamed Aboud
18.    Ndugu Lazaro Nyalandu
19.    Ndugu Issa Haji Ussi
20.    Ndugu Waride Bakari Jabu
21.    Ndugu Mahmoud Thabit Kombo
22.    Ndugu Shamsi Vuai Nahodha
23.    Ndugu Maua Daftari
24.    Ndugu Stephen Masele
25.    Ndugu Pindi Chana
26.    Ndugu Shaka Shaka
27.    Ndugu Makongoro Nyerere
28.    Ndugu Bernard Membe
29.    Ndugu Sadifa Juma Khamis
30.    Ndugu Antony Diallo
31.    Ndugu Livingston Lusinde
32 .    Ndugu Ummy Mwalimu

Imetolewa na:-

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Chupi zimewabana,hii ni mara ya kwanza kuwa na kamati kubwa ya kampeni Kama hii,na sura ni zile zile TUMEZICHOKA hamna jipya,mimi nilifikiri hamuogopi mafuriko?

    ReplyDelete
  2. Kikosi cha wezi

    ReplyDelete
  3. Hureeeeeee!! Kwa majembe haya CCM ushindi ni LAZIMA

    ReplyDelete
  4. Mmh!! Kwa timu hii, ukawa chali

    ReplyDelete
  5. Dream team lazima UKAWA wakae 200% mashabiki wa Edo watapiga sana kelele na kejeli plus matusi kwani kazi ndo kwanza haijaanza maana yake hii ni mwanaukome

    ReplyDelete
  6. Kwa sikoadi hii ipo poa sana jamaa wapo fiti sana hata iliyokuwa ya obama ni cha mtoto

    ReplyDelete
  7. ASANTE KARIBUNI KWENYE ULINGO.KATIKA NYINYI 32 WAPO WALIOKAMATWA KWA RUSHWA,UGONI,WEZI,VICHAA,WATIIFU WA LOWASSA,VIRUKA NJIA,WAHUNI,MAKONGOSHO NA PIA WASAFI LAKINI DHAIFU SAANA WAWILI TUU.TUNAWAANGALIA KWA KUWAONEENI HURUMA SAANA.MWENDAKO MTAPAMBANA NA NGUVU KUBWA SANA SANA YA RAIA MILLION 40.POLENI.

    ReplyDelete
  8. Samahani naomba kukuuliza Nape mbona siwaoni Malecela,Mkapa,Msekwa na Mangula.nasema hivyo nikiwa na maana kubwa nayo ni kwamba kwa ushirikiano wao na Mwenyekiti wetu Kikwete kila mmoja kati yao walitoa jina toka mfukoni mwake.CCM imeangamia tutakua wageni wa nani? LOWASSA SHIKAMOO TUPO CHINI YA MIGUU YAKO SISI HATUKUWEPO DODO MA. IYUWIIIIIIIIIIIIIII.OOOH AKA NASIKIA JOTO KALI

    ReplyDelete
  9. Na mimi nivute vidole vinakufa ganzi,karibu nasikia mgeni anapiga hodi hebu niletee maji ya kunywa vipi maziwa mulinunua hebu nisomee habari za mheshimiwa LOWASSA vipi mlicheki upepo tairi hebu kaniletee UGOLO mama alikwenda shule hebu mpigie nape jee mheshimiwa bado yupo nchini hajatoroka leo kashikwa nani na polisi,hebu nifunike shuka.YAMEWAKUTA PRESSURE KUWEWESEKA HALLUCINATIONS ZIGO HILO.

    ReplyDelete
  10. BABA MBONA HAKUNA MGENI YEYOTE ANAYEPIGA HODI,SASA BABA TANGU LINI ULIOMBA UGOLO?SASA MAMA AMERUDI KUWA MTOTO WA SHULE?MAMA HEBU NJOO UMUONE MZEE SIYE YEYE.SHIKAMOO LOWASSA

    ReplyDelete

Top Post Ad