Chat ya Instagram kati ya Diamond na Wema ni ‘Feki’ – Meneja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam Sharaff amedai kuwa screen shots ya kile kinachoonekana kuwa ni mazungumzo kati ya Wema na Diamond kupitia DM za Instagram ni feki.

Katika mazungumzo hayo, Wema anamueleza Diamond kuwa apuuzie kile mashabiki wake wanachokisema kuhusiana na Zari na mtoto wao Tiffah na kwamba bado anampenda staa huyo wa ‘Nana.’

Diamond naye anaonekana kupagawa na ujumbe huo na kumuomba waonane.

Hata hivyo Sallam Ambae ni Meneja wa Diamond kupitia Twitter amepuuzia screenshot hiyo kwa kudai kuwa ni feki.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. labda aliiandika yeye meneja laam.

    ReplyDelete
  2. huyo salaam anauhakika akauze bangi zake huko.

    ReplyDelete
  3. Watarudiana tu

    ReplyDelete
  4. Tusubiri ndo wanaanza hivyo

    ReplyDelete

Top Post Ad