Jokate Afunguka Baada ya Kukataliwa Ukweni: Wazazi Wasiingilie Mapenzi ya Watoto

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

SIKU chache baada ya gazeti dada ya hili la Ijumaa Wikienda kuripoti juu ya wazazi wa Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ kumkataa Ali Kiba kama mchumba wake, binti huyo ameibuka na kuwataka wazazi kote nchini kuacha kuwaingilia watoto wao katika masuala ya kimapenzi, akidai jambo hilo ni vema wakiachiwa wenyewe.

Akizungumza na gazeti hili, Jokate alisema ni vyema kama wazazi wakawaacha watoto wao waoe au kuolewa na watu wawapendao, kwani vinginevyo ni kuwaingilia maisha na uhuru wao binafsi, jambo ambalo si jema.

“Unajua nimelala, madai ya Ally (Kiba), sitaki kuyazungumza sana, unajua mimi ni binti mtu mzima, ninao uhuru wa kumchagua nimpendaye kwa ajili ya maisha yangu, ifike mahali wazazi wawape uhuru watoto wa kufanya mambo yao, awamu hii siko tayari kuona naumizwa tena na familia juu ya uhusiano wangu,” alisema binti huyo kwa njia ya simu juzi.

Chanzo: GPL
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. khaaa!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. dogo tuliza wenge,mzazi ni mzazi ,hakuna mzazi anayependa kuona mtoto wake anapata tabu,kwanza jiulize kiba anawatoto wangapi? pili jiulize alizaa na nani? au hao si wanawake kama wewe? uko tayari kulea watoto wa wanawake wenzio? au hawa wanawake wanakasoro gani? mwaume aliyekwisha kuzaa na mwanamke mwingine ni shida .ukikubali kuolewa nae ukubali kuwapokea wake wenzako watakapokuja kuangalia watoto wao .mziki wake mkubwa sikiliza wazazi hacha kukimbilia mambo ,tulia muombe mungu akupe mme wako kiba si wako

    ReplyDelete
  3. Huyu mwanamke ni Kichaa, laana za wazazi wake zimeisha anza kumuandama, anashindwa hata kusoma alama za nyakati. Wakati wenzake wako busy na mambo ya uchaguzi wa Rais na Wabunge yeye amebakia kutuletea mambo yake ya mapenzi hapa. Halafu mapenzi yenyewe na Ali Kiba Duh aiseeee!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. Asinge mpeleka kwa mzazi wake kama hataki waingilie!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad