King Lawrenc Arudi Tena na Kudai Mtoto wa Diamond si Wake Bali ni wa Ivan Aliyekuwa Mume wa Zari....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wakati jina la Latifah mtoto wa Diamond na Zari likizidi kukuwa, rafiki wa karibu wa aliyekuwa mume wa Zari, Ivan Ssemwanga, Kinglawrence amemtupia dongo Diamond akisema hakuhitajiki kipimo chochote cha vinasaba DNA ili kujua kuwa, Latifah si mtoto wa Diamond kwani mambo yamejionesha yenyewe baada ya miezi tisa.
Kwenye mtandao wa Instagram, jamaa huyo aliweka picha ya Ivan aliyoiunganisha na picha ya Latifah ili wadau waone walivyofanana. Hapa ana maana kuwa, mtoto huyo ni wa Ivan.

Diamond alipotafutwa aseme neno kuhusiana na madai hayo yote, alipuuza kuhusu mtoto ni wake au si wake, akasema ana furaha iliyopitiliza ya kupata mtoto na kuhusu jina haoni kama kuna tatizo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Who really cares?may be mondi,sisi tunataka habari za UKAWA hapa achana na hao wakata viuno

    ReplyDelete
  2. Mmmmmh! Wacha picha liendelee, yetu macho na masikio, kwa kifupi HAYATUHUSU

    ReplyDelete
  3. Umbea tu,
    na hiyo picha sio ya mtoto wa Tiffah.mmebugii men

    ReplyDelete
  4. Umbea tu,
    Na hiyo picha siyo ya Tiffah.

    ReplyDelete
  5. Kalaga bao wewe wa kuitwa sijui King Lawrence unaonekana ni bongeeeee la mnafiki au watu wanakukunia ndevu mgongoni nini?Nonino inawasha inataka kukunwa na naniii......U better shut the fuck up

    ReplyDelete
  6. Mashallah mtoto anafanana kweli na baba yake,diamond analazimisha tuu lakini ukweli anaooo,maana alivyo na mishauo angekuwa wake tungekuwa tumeshaoneshwa sura na DNA piaa anaogopa kuchekwaaa chezea team wema weweeee!!!!!haya ngoja tuone project Yao itaishia wapi ni hatarii hatarii

    ReplyDelete
  7. Hiyo picha ni ya tiffa ZARI katuma kwa mashosty zakeee,lol....achani ushabiki maandazii umpelekeni DNA mtaumbuka nyieee yule ZARI ni kahaba international ana upeo mkubwaa ni mtu mzima na kaisha pitia mambo mengii huwezi mlinganisha na Diamondplatnumz huu ndo ukweli kubali au katana!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani huyo DAIMOND kashikiwa akili na mtu?Anatambua zuri na baya kwa hiyo tuwaache,wapita njia na ndugu tutaimba sana lakini mwisho wa siku uamuzi ni wa Dai mwenyewa.LET THEM GOOOOOOOOOOOOO.

      Delete
  8. he he he kazi kweli kweli mtaumwa sana vijiba vya roho!!!

    ReplyDelete
  9. Mmmm kitanda hakizai haramu,Kama Wa mumewe ataenda kwa babake,kama Wa Dai haya

    ReplyDelete
  10. roho zitawauma sana haswa nyie mnao jiita vibaraka wa wema.

    ReplyDelete

Top Post Ad