MKAPA: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa....Chama cha Ukombozi ni CCM Tu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais  Mstaafu  wa  awamu  ya  tatu  mh. Benjamini  William  Mkapa  amesema  kuwa  wapinzani  wanaodai  vyama  vyao  ni  vya  ukombozi  ni  Wapumbavu  na  malofa  kwa  kuwa  watanzania  walikwisha  kombolewa  na  chama  cha  ASP  na  TANU  na  kwamba  chama  pekee  cha  ukombozi  kilichobaki  hivi  sasa  ni  CCM  pekee.

Mkapa  ametoa  kauli  hiyo  leo  katika  viwanja  vya  Jangwani  wakati  akimnadi  mgombea  urais  wa  CCM, Mh  John Pombe  Magufuli. MTAZAME HAPA:
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mzee kajivujia heshima kwa kweli
    tumemsamehe lakini amepanic sana

    ReplyDelete
  2. ni kweli tuache siasa ambazo cio za kizalendo tuweke uzalendo mbele tuache unafiki kwani tanzania ni nchi huru tusidanganyane jamani ikulu hatadutwa kwa kuitana watumwa makati tunapiga kura sasa ukombozi gn tunataka naona tutumie kauli ya kubadilisha chama tu ukawa wacheni ushenzi watanzania cio watumwa tunapiga kura kuchagua tunachokipenda

    ReplyDelete
  3. Kama nimelewa ni ukombozi wa kiuchumi kwa watanzania wote, kwa asilimia kubwa uchumi wetu unamilikiwa na wageni tuwe wa ukweli jamani rasilimali zetu zinakwisha.

    ReplyDelete
  4. KIUCHUMI BADO HATUJAKOMBOLEWA TUWE WA KWELI JAMANI

    ReplyDelete
  5. Viongozi wote wa ccm wana maneno ya kweli sana, na kudharau watanzania. Kuanzia akina malecela, msuya, kinana, nape, na sasa mkapa, kikwete nk. Let Eni hoja, msiba diligence watu hapa

    ReplyDelete
  6. MATUSI YENU;MALOFA,WAPUMBAVU ASANTE TIME WILL TELL.NARUDIA UNATUTUKANA SISI WATANZANIA KUWA NI MALOFA.ASANTE.LOWASSA ACHUKUE NCHI UANZE UCHUNGUZI WA KIJINAI WA KAGODA,NYUMBA 6 ZA SERIKALI ULIZOPEWA ZAWADI NA MAGUFULI,EPA,KIWILA NK.HAPO NDIPO UTAKAPOAMINI NA KUKUBALI KUWA WEWE NI MWIZI MPUMBAVU,HAYAWANI LOFA LOFU.

    ReplyDelete
  7. Mkapa kweli unatutukana hivyo watanzania.kwa hiyo unataka na sisi tuyajibu matusi yako.huu ni mwanzo wa uvunjifu wa amani utulivu na heshima.sisi watanzania unasema ni wapumbavu kwa kukuvumilia wewe mwizi mkubwa wa mali za umma umejibinafishia Kiwila,Mashamba ya chai mkeo umempa nyumba zote za shirika la posta mwanao kanunua mtaa mzima block 41.NI DHAHIRI HIVYO MPUMBAVU NI WEWE NA WEZI WENZIO HAPO HIGH TABLE YA CCM Kimbunga kinakuja 25.10

    ReplyDelete
  8. Ivi mnajua kiswahili cha neno mpumbavu?

    ReplyDelete
    Replies
    1. achana na mamburura wa hapo juu kwani huyo mkapa kataja mtu? au kasema watanzania wote ni wapumbavu? acheni ushabiki wa kijinga

      Delete
    2. Hivi mwanao hakikuita mpumbavu means ajakutukana cause sio tusi

      Delete
  9. Mkapa haraka bila kusubiri utuombe radhi watanzania tena Haraka usisubiri Tuka declare jino kwa jino mwisho wa yote Historia itakuhukumu kweli tunakwambia we haya shauri yako mwenzetu uliyeiba mapema unapo pa kukimbilia sasa sisi jee malofa kama unavyotutambia.Yaani Tumekushusha tumekushusha sasa huna tofauti na NGEDERE

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huombwi radhi, fanya utakalo..........mtu mzima hatishiwe nyau!!

      Delete
  10. KWA NINI WAPENDWA VIONGOZI WETU HAMCHUNGI NDIMI ZENU? MKAPA JIEPUSHE USIWE CHANZO CHA UVUNJIFU WA AMANI.INATISHA INAKERA HAIVUMILIKI USITUPELEKE KWENYE MAJANGA

    ReplyDelete
  11. Always naongea hapa ccm hawana akili at a tone niliipenda sana BT now nimefunguka uwezi tukana watu useme no hoja unatoa were ulie it's wenzio mamburura wewe ndio mburura mamba Mona mjinga wewe kama akina mkapa na wenzie

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kidoo wewe choko kweli mfa maji utamaliza maneno huwezi ukafua dafu ni sawa na kupiga ngumi ukuta

      Delete
  12. Hekima haijatumika. Mh anahitaji maombi. Tafadhali mzee pumzika usijiaribie.

    ReplyDelete
  13. Mkapa ni kiongozi aliyechukuliwa pale SeaView akinywa na kulala mezani ili atawale Tanzania. Utategemea nini kwa mtu anayelala BAA? Ni hayo maneno yasiyokuwa na HOJA! Sisi wa UKAWA tunawaambieni tutaongea na HOJA tu. Hatutamtusi mtu. Kuweni wastaarabu nyie akina Kikwete (ndio maana mwalimu alisema usingeweza kuongoza nchi - si unaona ulikokipeleka chama cha mwalimu nyerere?). Nyerere alikuwa na nia njema kabisa ya kumkomboa mtanzania kutokana kwa wakoloni na BAADAE afute UJINGA, UMASKINI na magonjwa! Na kweli alifanya HIVYO hadi alipofariki (angalia nyumba yake mliyomjengea aliikataa - kwa misingi yeye sio TEMBO). Sasa nyie ccMAFISADI...mmeimaliza nchi. Heri UTUMWA wa MKOLONI mweupe KULIKO utumwa Wa MKOLONI MWEUSI - Mwinyi;;;;;Mkapa;;;na Kiwkete.. Wananchi WAMEONANA NA UMASKINI ULIOKITHIRI; ELIMU DUNI KULIKO NCHI YOYOTE DUNIANI (anaglia watoto wetu wanapoenda mashuleni. wanapokaa; wanapofanya mitihani)....Mkapa nyamaza na uende kula pensheni yako vema! Watu duniani wanaangalia kama demokrasia inafanyikaje in practice huku Tanzania. Hata huko kikwete alikokuwa akienda kusema kuna demokrasia nyumbani wanamwangalia. mnanielewa lakini...kule d.c.....manake...msitumie police; jeshi; na vitu vya wananchi wote kwa ajili ya ccm....ni dalili za kutapatapa!!

    ReplyDelete
  14. nakubaliana na anon wa Aug24 7:09 pm. asante sana kwa huo uchambuzi. hawa watu wa ccm wanataka kuifanya tanzania kama market basket yao! wanaiba hata pembe za ndovu. wanaoishangilia ccm ni wale wale wanaofaidi katika mfumo wenyewe. ni wachache sana hao. ni akina diamond wanaopewa chakula cha siku moja na kuonana na rais pale mlimani city (tena kwa uongo wanadhubuti kusema walienda kwa niaba ya wasanii wote) - Nyie wasanii mnaoendekeza mabaya ya ccm mtashuhudia miaka mingine mitano ya mateso. umeme hakuna; maji hakuna; kulipia kodi kiwanja au nyumba yako lazima utoe kidogo pale ardhi! Ni wapi duniani umeshaona kitu kama hiki? kila kukicha barabara ni mbovu na watu wetu wanakufa kwenye ajali - uansema ccm ni mbele kwa mbele? hamuoni aibu? KANU ilianguka kifo cha mende; UNIP kifo cha siafu; na ccm ni kifo cha UKIMWI TUUUUU mwaka huu. TUMEWACHOKA! Angalia nyumba anayokaa mkapa huko Lushoto? Unahitaji jumba lote hilo la nini? Kwa nini usijenge hata museum ya mwalimu nyerere ambapo watu wangepata angalau kibarua? ww mkapa umeiba hata viwanda ukavifanya vya kwako mwenyewe! Je unafikiri ingekuwa huko majuu ww sasa hivi ungekuwa wapi? ww kikwete umemwachia tibaijuka (eti rais mzima mwenye akili zake - unasema - TUMEMWOMBA akae pembeni kidogo....mbona chama chako cha MAFISADI hicho hicho kimempitisha yule mama? Ni ukweli usiopingika sasa HIVI kwamba "hata umlete mtume au apostles wa yesu katika ccm, kesho atabadilika na kuwa fisa tu" ee mungu tusaidie watanzania katika kipindi hiki kigumu cha uchaguzi! Watanzania tumechoka. Wanafunzi tumechoka; wazee wastaafu tumechoka (kupata shs 20,000 kwa mwezi kama mshahara wetu wa kuifanyia kazi taifa letu kwa miaka 30-40) - tena tunazipata hizo hela kwa usumbufu! Sisi "wamchinga" tumechoka kuitwa VIBAKA, wenye NJAA! nk. Sisi watanzania tumechoka kuitwa mafala; malofa; wapumbavu! Sisi watanzania tumechoka kuitwa oil chafu; makapi kwa sababu ya watu wanaotuibia mali zetu wanaona wao ndio wao wenye HATI miliki ya nchi yetu! Huu ndio mwisho wenu! Hata iweje, OCTOBA BALLOTS will tell! And of YOU ccm GUYS!

    ReplyDelete
  15. Bwana mkapa ana laana ya Mama yake ALIMWANGUSHIA NGUO ndicho kisa alipostaafu aliamua kujenga na kuishi lushoto kwa akina makamba.kule alikwisha jibinafshia mashamba ya chai.Huku kwetu Tandahimba haha hata kitalu cha mchicha.Hatushangai kuambiwa leo anakunywa Pombe mpaka analala kwenye bar Na kibaya zaidi yanajitokea tuu ANACHAFUA NGUO ZAKEA na ndio maana alikwisha tengana na mkewe Mama Anna YALIMSHINDA.

    ReplyDelete
  16. Mwaka huu chanzo chochote cha uvunjifu wa amani katika kampeni hizi kitakua CCM na viongozi wake citing Ufunguzi wa kampeni zake kule Jangwani WALIONGEA MANENO MACHAFU WALIONGEA WAKIHAMASISHA CHUKI MIONGONI MWA JAMII.Kimsinngi mlengwa wao mkuu akiwa ni MHESHIMIWA LOWASSA.YAANI CCM YOOOOOTE HOFU NI MTU MMOJA TUU.HII IMEZIDI KUMPANDISA CHATI MHESHIMIWA LOWASA KWA SASA NDIYE CHAGUO NAMBA MOJA.LOWASSA NDIYE RAIS WETU MPYA.Baada ya hapo tujenge nchi upya kwa sababu Hazina ndiyo hiyo KIKWETE AMEIKAUSHA KAIBA KABEBA KACHOTA KIIILA SENTI UBARU NI MWIZI JAMBAZI KATU HATOACHIWA HIVI HIVI NI MHUJUMU UCHUMI ANA KESI NYINGI NYINGI ZA KUJIBU

    ReplyDelete
  17. Yeye, MKAPA ndio lofa, moumbavu wa wapumbavu duniani! Ndio maana katika utawala wake ALIENDEKEZA sana NEPOTISM!

    ReplyDelete
  18. Anaglieni MTOTO wa Ghadaffi YUKO WAPI SASA HIVI! Angalieni ALAMA za NYAKATI NYIE CCM! Hamuwezi KULAZIMISHA kutawala WASIOTAKA KUTAWALIWA. TULIJIKOMBOA KWA WAKOLONI WEUPE; SASA TUNATAKA KUKOMBOLEWA KWA WAKOLONI WEUSI (Mkapa ni mkoloni; Kikwete ni MKOLONI; Na ccm YOTE NI WAKOLONI hakuna tofauti ya KABURU MWEUPE NA KABURU MWEUSI - HAYO NI MANENO YA MAREHEMU MWALIMU NYERERE!)

    ReplyDelete
  19. MPUMBAVU NA LOFA NI WEWE ULIYEKIMBIA KWENU UKAENDA KUJENGA KWA MASHEMEJI ZAKO! ebo!

    ReplyDelete
  20. SISI WATANZANIA MALOFA MWAKA HUU TUPO NA WEWE TAJIRI MKAPA YAANI UTAZIJUTIA KAULI ZAKO WEWE TUFE HADI MWISHO WA MAISHA YAKO.HUNA LWA KUKEMEA KWA SABABU KIKWETE NAYE ANAPUMULIA MASHINE.FUNDISHO LA UCHAGUZI HUU KWENU LITAKUA LA MAISHA KISHA MSOGEZWE ISANGA GEREZA KUU NA MAWENI

    ReplyDelete

Top Post Ad