MREMBO wa Bongo Movies Alitamani Penzi la Mwanamuziki Diamond Platnumz Mtoto wa Tandale

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hamida HassanStaa wa filamu na muziki, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ hivi karibuni amefunguka siri iliyokuwa kwenye uvungu wa moyo wake kwamba analitamani sana penzi la mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ ila anaumia kwa kuwa anajua amechelewa.

Akichonga na Ijumaa hivi karibuni, Sabby aliyewahi pia kuwa mpenzi wa Mwanamuziki Bob Junior alisema anajuta kwa nini alichelewa kuzianika hisia zake kwani Diamond ana sifa zote ambazo angependa mpenzi wake awe nazo.

Yaani nimeficha hisia zangu siku nyingi lakini bora niseme ukweli kwamba natamani kuwa na Diamond kimapenzi, nahisi ni mwanaume anayejua kuishi na mwanawake,” alisema Sabby.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Amekula maharage ya wapi huyo ,teh,teh,teh

    ReplyDelete
  2. maharage ya mbea hayo!

    ReplyDelete

Top Post Ad