Mtoto Tiffah wa Diamond Platnumz Apewa Zawadi ya Benz la Mil. 200

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Musa mateja
Kazi ipo mwaka huu! Ndugu wa mzazi mwenzake na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wamempa zawadi mtoto wa mastaa hao, Latiffah Nasibu ‘Princess Tiffah’ ndinga aina ya Mercedes Benz MSL Benz lenye thamani ya dola 100,000 (zaidi Sh. milioni 200).

Habari za uhakika kutoka ndani ya familia ya Diamond zilieleza kwamba, ishu hiyo ilijiri juzikati mara tu baada ya Zari ambapo baadhi ya ndugu wa mwanamama huyo walichanga na kumletea Tiffah gari hilo ili Zari alitumie katika mishemishe zake anapotoka na mwanaye Tiffah ikiwa ni pamoja na kumpeleka kliniki.

Kikisherehesha kwa kina stori hiyo, chanzo hicho kiliweka bayana kuwa ndugu wa Tiffah wameamua kumletea gari hilo ikiwa ni moja ya zawadi ambazo waliahidi kipindi akiwa majamzito, lakini pia wameamua kufanya hivyo kwa kuwa hawataki mtu achangie gari na Tiffah.
“Ni kweli ndugu wa Zari wameamua kumnunulia Tiffah gari aina ya Benz na tayari limewasili Bongo na Ijumaa iliyopita lilitumika kumpeleka Tiffah kliniki,” kilisema Chanzo hicho cha ndani.
GPL
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wabongo too much mbwembwe cha ajabu nini she is not more special than other kids walipotokea wengine kuiona dunia na yeye katokea hapo hapo so what

    ReplyDelete
  2. Huyu Zari anataka kutufanya baadhi ya watanzania wajinga, hivi mtoto mdogo kama huyo utamzawadia gari aifanyie nini kama kutaka umaarufu wa kijinga, ningeamini kama waliamua kumfungulia akaunti kama zawadi yake au kumnunulia nyumba. Ameamua kuleta magari ambae yameshindwa kuuzika Uganda ayauze Tanzania maana yeye ni Agent wa kuuza magari ya kifahari Uganda anateletewa kutoka nje ya nchi kuyauza anaweka jina lake na kupewa Commission, sasa anataka kuihamishia biashara hiyo hapa waifanye na Daimond.

    ReplyDelete
    Replies
    1. You got that right mdau.

      Delete
    2. Uko sawa kabisa mdau. Ukipenda sifa sana na akili huwa inapotea

      Delete
    3. Upo sahihi kabisa ndugu hahahahaha yani zari na dai wanatuona wajinga kiasi hicho!!! Eti zawadi ya mtoto!!! Kwanini wasimfunguliye account!!!???

      Delete
  3. lakini si ndio akili kubwa,wanatumia kila upenyo kupata hela ya kula,sie wabongo tumebaki kutukanana tu kwenye mitandao

    ReplyDelete
  4. SIONI SHIDA HAPO KAMA UNAZO TUMIA!!!

    ReplyDelete
  5. Lakini nilivyoelewa mimi Benzi hilo ni kutoka kwa ndugu wa Zari, sasa hapo huyo mama Tiffa kosa lake nini?

    ReplyDelete

Top Post Ad