Nape Afunguka: Wanao Hama CCM Sasa ni Sawa na OlL Chafu ya Gari..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katibu Mwenezi wa CCM Nape Amekaririwa Akisema kuwa CCM ina Wanachama Wengi sana, Hao wawili watatu mnaosikia wanahama chama kila siku ni sawa na Oili chafu ya Gari ....Hawana Tena Thamani.....


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ANAPANIKI HUYO, ANAFANYA CHAMA NI MALI YAO, ILA ATANYOOKA TUU

    ReplyDelete
  2. hahaaa......nabadooo utasema mengi mwaka huu

    ReplyDelete
  3. Mwalimu alisema upumbavu ni kipaji, ni kama urefu na ufupi

    ReplyDelete
  4. Kwa kuhama kwao ndo wamekuwa oil chafu wakati bado hawajahama walikuwa oil mpya? kweli mfa maji siku zote haachi kutapatapa na sikio la kufa kamwe halisikii dawa. Yani ni sawa na kukata tawi la mti ulilokalia matokeo yake naimani bila shaka mnajua kitakachotokea. yani hawa badala ya kunadi sera zinazotekelezeka na zenye maslahi kwa taifa wamebaki kukalia maneno wakati nyumba yao inazidi kuteketea kwa moto mfano wa ule uwakao kwa speed nyikani. Kinachoendelea kwa sasa ni kwamba wote wamechanganyikiwa na kujikuta hakuna la maana wanalolifanya maana matarajio yao yamegeuka kuwa hukumu yao kwa yale waliozoea kuyafanya kila siku. watanzania wa leo si wale wa miaka ya arobaini na saba ya enzi hizo za mwalimu. hawa watu wamejisahau ni wkati sasa watanzania wamechoka na hadithi za sungura na fisi na sasa wapo tayari kubalidi mwelekeo.

    ReplyDelete
  5. watu tena viongozi nape unawaita oil chafu?wengi rika la baba yako na mama yako.unajitafutia laana.kweli nakwambia.kwanza hilo ni tusi la jinai,na,pili hawa ni viongozi waandamizi wanaopendwa kwa sasa na mamilioni ya watanzania.nape watakaposhinda uchaguzi tena kwa kishindo,utajificha wapi? nakuuliza nape.

    ReplyDelete
  6. Nape na Kinana na wengine wengi wa ccm wana mdomo m chafu kama choose cha cuty. Hizi ni rasha rasha. Gobachev alishindwa kuzuia itakuwa mabadiliko nyie mkiongozwa na mtu asiekuwa na maamuzi? Pia KANU ilishindwa, Arabic Springs, Arabic winter....sasa sisi hii October itakuwa ni kipindi cha VULI, na wala sitajua masika! Utaiona NBA bwana mdogo. Unaropoka tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad