Nape: Ni Upuuzi Mkubwa Mahakama ya Kimataifa ICC Kusema Inaangalia Uchaguzi wa Tanzania Kwa Karibu Kwani si Kazi yao

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Muendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya kimataifa ya uhalifu (ICC) kusema kuwa wanaufuatilia kwa makini uchaguzi mkuu wa Tanzania kuhakikisha hakuna haki za binadamu zitakazo kiukwa, Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema anadhani ni upuuzi kwa mahakama hiyo kusema inaangalia uchaguzi kwani si kazi yao. 

Amesema kama kweli wanafuatilia mambo hayo basi wafuatilie na nchi za Ulaya.

Chanzo: (ITV).
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kama hamtegemei kukiuka haki za binadamu, mna wasi wasi gani?... Naona imewapa tumbo joto.

    ReplyDelete
  2. Mnaogopa nini kama mnafanya UCHAGUZI wenye UHURU na HAKI SAWA KWA VYAMA VYOTE? Hakuna haja ya KUOGOPA CHOCHOTE kama hujafanya KOSA. Mwenye kufanya KOSA ndio MWOGA! Angalia wanao NYUMBANI! Nani kavunja kikombe!! AliyevunJUA UTAMJUA TUUU. Nape KAA KIMYA TAFADHALI!

    ReplyDelete
  3. Ha ha ha mbavu zangu mie zamu yenu imefika yutu macho,matusi yenu,ulifikilia nchi yakwenu,kiburi kwiiiisha kabisa

    ReplyDelete
  4. We nape unamdomo sana jiangalie punguza kuropoka ndio mana ccm inakwenda kudondoka una domo sana ata kwenye maswala nyeti

    ReplyDelete
  5. Hamnazo!!Nape ulizaliwa vibayq,unaishi vibaya na utakufa vibaya.

    ReplyDelete
  6. Mr Nape,mahakama ya ICC haisikilizi propaganda,wao ni kazi tu.Na sidhani utapona kupandishwa kizimbani mwaka huu!

    ReplyDelete
  7. ana hasira huyo, lugha yake kali.

    ReplyDelete
  8. Tatizo wewe Nape huwa unakurupuka unaongea bila kufikiria. Ukitaka wasifuatilie na nyie msiwe omba omba kwenye nchi zao maana ICC imeundwa na hizo nchi ambazo nyie mmekuwa ombaomba kwa kuiuza nchi katika mikataba ya kijinga.

    ReplyDelete
  9. yani tunaomba hata KUSIMAMIA HUU UCHAGUZI wasimamie wao, hapo ndipo tutapata haki watanzania, tunaomba sana iwe hivyo!!!

    ReplyDelete
  10. mavi debe ccm ,ahahahha kazi mnayo kwani udikteta wenu mwaka huu ndio mwisho kwani big brother is watching mshazoea kutesa watu na brutatali za polisi kupewa go ahead na head of state kuwapiga viongozi wa upinzani kuweka ndani mashekhe bila sababu.sasa mwaka huu ndio mwisho kwani ccm mnangoka na mtapelekwa den haag kwa kujibu mastaka mliyoyakabili.

    ReplyDelete
  11. mavi debe ccm ,ahahahha kazi mnayo kwani udikteta wenu mwaka huu ndio mwisho kwani big brother is watching mshazoea kutesa watu na brutatali za polisi kupewa go ahead na head of state kuwapiga viongozi wa upinzani kuweka ndani mashekhe bila sababu.sasa mwaka huu ndio mwisho kwani ccm mnangoka na mtapelekwa den haag kwa kujibu mastaka mliyoyakabili.

    ReplyDelete
  12. mavi debe ccm ,ahahahha kazi mnayo kwani udikteta wenu mwaka huu ndio mwisho kwani big brother is watching mshazoea kutesa watu na brutatali za polisi kupewa go ahead na head of state kuwapiga viongozi wa upinzani kuweka ndani mashekhe bila sababu.sasa mwaka huu ndio mwisho kwani ccm mnangoka na mtapelekwa den haag kwa kujibu mastaka mliyoyakabili.

    ReplyDelete
  13. mavi debe ccm ,ahahahha kazi mnayo kwani udikteta wenu mwaka huu ndio mwisho kwani big brother is watching mshazoea kutesa watu na brutatali za polisi kupewa go ahead na head of state kuwapiga viongozi wa upinzani kuweka ndani mashekhe bila sababu.sasa mwaka huu ndio mwisho kwani ccm mnangoka na mtapelekwa den haag kwa kujibu mastaka mliyoyakabili.

    ReplyDelete
  14. mavi debe ccm ,ahahahha kazi mnayo kwani udikteta wenu mwaka huu ndio mwisho kwani big brother is watching mshazoea kutesa watu na brutatali za polisi kupewa go ahead na head of state kuwapiga viongozi wa upinzani kuweka ndani mashekhe bila sababu.sasa mwaka huu ndio mwisho kwani ccm mnangoka na mtapelekwa den haag kwa kujibu mastaka mliyoyakabili.

    ReplyDelete
  15. Usipikuwa na dhambi hukumu haikutii mashaka. Nina wasiwasi na CCM nadhani wanajua walichokipanga, Ila mwaka Huu namba mtaisoma. Mtanzania piga kura. Mimi nitailinda. Viva ukawa.

    ReplyDelete
  16. Nape ana maneno machafu kama choo cha city! Sijui kama baba yako ALikuwa na maneno machafu hivyo! Mungu amrehemu alipo! WALAHI CCM mwaka HUU mtakiona. Nashangaa watanzania wenzangu wanaOBEZA ccm! Miaka YA KUTAWALA inakaribia MARA MBILI YA umri wa wasanii WENGI WA TANZANIA - Tanzania, hasa jiji la DAR ES SALAAM LINANUKA HASA WAKATI WA MVUA! JE HAYO MAGARI YENU NYIE WASANII YA MILLIONI MIA MBILI MIA TATU MNAFURAHIA KUYAENDESHA KWENYE MAFURIKO? TANZANIA GANI, AMBAYO MNASEMA KUNA AMANI WAKATI WAKATI WANAJIFUNGIA NDANI YA NYUMBA ZAO "FORTIFIED BUILDINGS" HATA MOTO UKITOKEA USIKU WATU WANASHINDWA KUSALIMIKA? NCHI GANI HAKUNA HUDUMA NZURI SERIKALINI - NJOO KESHO; NJOO KESHO; NANI KATI YETU HAJAWAHI KWENDA KUPATA HUDUMA (SERVICE) SERIKALI YA CCM HAKUAMBIWA NJOO KESHO? NI NANI KATI YETU HAJAOMBWA RUSHWA AU KUTOA RUSHWA HAPA TANZANIA? NI NANI? ANYOOSHE KIDOLE ASEME MIMI HAPA! NI NANI KATI YA SISI HAONI USUMBUFU WANAOPATA WAMAMA WAJAZITO HOSPITALINI? NI NANI HAONI HILO? MIAKA 60 CCM imeshindwa! Chama KILICHO NA UMRI MKUBWA KULIKO MAGUFULI, LEO MAGUFULI ANASEMA ATAKIBADILISHA? ANATAKA MABDADILIKO? MBONA ANAIBA SERA ZA UKAWA? KWA NINI CCM WASILETE HAYO MABADILIKO? MAGUFULI MWENYEWE AMEENDEKEZA RUSHWA KUBWA KATIKA WIZARA YAKE...YEYE ANASIKIKA TU AKIPIGANA VIKUMBO NA WAFANYAKAZI WANAOKULA RUSHWA NDOGO NDOGO - NA MIFANO HAI NINANYO! KUNA MTU ANAIHITAJI HIYO MIFANO HAPA NIITOE? WATANZANIA TUPIGENI KURA ZETU TUNATAKA MABADILIKO! MABADILIKO NJE YA CCM! HAYAWEZI KUTOKA NDANI YA CCM. UMEONA MWENYEKITI AMECHAGUA RAIS WA CCM SI WATANZANIA! BASI MAGUFULI AANZE NA UENYEKETI WA KUIFUFUA CCM na wala si KUWA RAIS WA JAMH. YA MUUNGANO WA TZ.

    ReplyDelete
  17. kikwete amekwishakata tamaa na kwa sasa anasumbuliwa na ACUTE DEPRESSION ukatili wake na uhalifu dhidi ya binadamu dhidi ya watanzania ni mkubwa na kasi inaendelea. ANAMTUMIA NAPE kama kinywa chake kwa taarfa zote za kuelemewa.mwaka huu sisi na yeye Kituo cha kwanza Segerea.

    ReplyDelete
  18. CCM tumewazoe hao
    Kwa vijembe, matusi si wanaume hadi wanawake
    Hehe Nape unajeuri hiyo
    Bajeti yote inategemea missada
    Kwa ajili uvivu wenu wa kufikiri
    Ngoja ukawa tuwafundishe

    ReplyDelete

Top Post Ad