Sijifananishi na Drake, nina muonekano mzuri kuliko yeye – Hemedy PHD

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kama unamfollow msanii wa filamu na muziki Tanzania, Hemedy PHD katika akaunti yake ya Instagram, utakuwa umekutana na post zake nyingi kuhusu rapper/muimbaji wa Canada, Drake.

Hemedy amesema kuwa yeye ni shabiki mkubwa sana wa Drake, na ndiye msanii wa nje anayemu-inspire kwa kiasi kikubwa ndio sababu huwa anampost sana kwenye akaunti zake lakini sio kwasababu anajifananisha naye.

Ninamkubali sana drake lakini sijifananishi na Drake” alisema Hemedy kupitia Clouds’E’ ya Clouds TV.

Lakini kama kawaida yake hakuacha kujifagilia kidogo, kwa kusema kuwa licha ya kumpenda Drake lakini bado yeye (Hemedy) anamzidi Drake mambo mengi ikiwemo muonekano wake na kuvaa.

Nina muonekano mzuri kuliko Drake, navaa vizuri kuliko drake” – Hemedy PHD

Hemedy ambaye hivi karibuni ameachia video mpya ‘Imebaki Story’, pia amezungumzia maana ya ‘Papi Nation’ kuwa ni jina la kampuni yake anayotarajia kuisajili hivi karibuni.

BONGO 5
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kweli kabisa uko handsome kuliko huyo jamaa drake

    ReplyDelete

Top Post Ad