Aunt Ezekiel: Nina Haki ya Kuhama Chama

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MWIGIZAJI mahiri wa filamu nchini, Aunt Ezekiel, amedai kutishiwa amani baada ya kufanya maamuzi yake kisiasa ambapo amehamisha ushabiki wake kutoka chama kimoja na kwenda chama kingine.

Licha ya mrembo huyo kudai kupokea vitisho mbalimbali, pia alidai amehama chama hicho na kujiunga na kingine

kutokana na kukubali sera za chama hicho.

“Sera za chama nilichohamia zimenivutia na wala sikulazimishwa na mtu wala sijapokea fedha wala gari kuhamia

huko kama inavyosemekana, bali nafsi na mapenzi pamoja na haki yangu ndiyo yaliyonipeleka huko.

“Nashangaa maamuzi yawe yangu bado watu wanitumie jumbe za vitisho, mimi ni raia kama walivyo wengine,

umaarufu wangu usiwe sababu,” alisema Aunt, ambaye awali alikuwa akivaa magwanda yanayoaminika kuwa jezi ya chama alichokihama

Chanzo:Mtanzania
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hizo meseji zinazokutishia amani hebu zilete huku TCRA, hao ndio watu tunaowatafuta siku zote

    ReplyDelete
  2. Kuhama chadema imekuwa shida veeepeee, kwanza chadema sio baba wala mama yake, na wala chadema sio kabila wala dini yake, mumuwachee.............. angehamia ACT au TPP, CHAUSTA, CHAUMA, DP, UDP wala msinge chonga, mnaihara na kuihofia CCM siyo?? mnalo mwaka huu 'zigo' limewaganda na halitakati ng'ooooo!

    ReplyDelete
  3. Mimi binafsi nimehama chadema baada ya kuchambua mchele na chuya,nikagundua CCM ni byeeeeeeeeeeeeee!,CCM muzuri sana,CCM ni bomba,CCM inogile,CCM ndio kanyaga twende peke yakeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

    ReplyDelete
  4. MONEY MONEY MONEY!!!

    ReplyDelete
  5. Jamani nyie hamjui huo mchezo tu ccm wajinga wanafikiri hao wasanii wana impact kwa wananchi buhahahahahaaaa...mi nilishangaa eti Ray chadema wakati kutwa yupo leaders anajishaua mara riziwani mara Dodoma yani akili za ccm finyuuu

    ReplyDelete
  6. Wanatanga tanga! hawana mpango wowote na siasa, ni njaaa tu inawasumbua kwani usanii wao haulipi wanabaki kuwa maarufu

    ReplyDelete
  7. Bora ulivyohama maana ungepoteza kura yako bureeee

    ReplyDelete
  8. Bora hata ulivyohama maana ungepoteza kura yako bureeee

    ReplyDelete
  9. tabia ya kuchopa chopa ina watu maalum wasiojifahamu hata kwenye maisha ya ndoa wapo hao watu wanaweza kuisaliti ndoa kwa matatizo ya mwenziwe tu. au katika dini wapo anaslimu then anazaa na mkiristo yachukulieni poa tu BEHAVIOUR!

    ReplyDelete

Top Post Ad