Makongoro Nyerere Awakera Wapiga Kura Kwa Matusi yake Jukwaani..Adai Ikulu Hakuna Makaburi, Lowassa Anaumwa Kuna Uwezekano Akafikia Ikulu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

BAADHI ya wakazi wa mji wa Dodoma wameeleza masikitiko yao juu ya matusi na kashifa zinazotolewa na viongozi wa CCM dhidi ya wahasimu wao Chadema.

Hali hiyo ilijitokeza juzi ambapo Makongoro Nyerere aliweka sera za CCM pembeni na kuanza kutoa kashfa kwa wagombea wa vyama vya siasa hususani Mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa na mgombea Ubunge Benson Kigaila.

Akihutubia katika mkutano wa Kampeni wa mgombea ubunge CCM katika viwanja vya Kikuyu Kusini, Makongoro badala ya kutangaza sera za chama chake alianza kwa kashfa na kudai Ikulu hakuna makabuli hivyo Lowassa anaumwa na kuna uwezekano akafia Ikulu.

Makongoro akimnadi Anthon Mavunde, alitumia muda mwingi kutoa kashfa kwa wagombea wa UKAWA huku akidai Lowassa asichaguliwe kuwa rais kwani afya yake mbaya hivyo anaweza kutofanya majukumu yake.

Mbali na hilo amesema Ikulu siyo wodi ya wagonjwa na sehemu ya makaburi hivyo ni vyema mtu anayetakiwa kwenda Ikulu ni mtu mwenye nguvu.

“Mimi sasa sitaki kuendelea kumsema Lowassa maana akifa watasema mimi ndiye niliyemuua hata hivyo nawashangaa watu wa UKAWA wana roho ngumu sana kutembea na   mtu ambaye amechoka vile.

“Chadema wanatakiwa kushitakiwa ni maajabu sana kuona na watu wasivyo na huruma wanamtesa sana baba wa watu hata hawezi kuzungumza majukwaani na sera anamwachia Lissu (Tundu),” amesema Makongoro.

Kutokana na hali hiyo wakazi wa Dodoma wamesema watanzania wanataka kusikiliza sera na siyo vinginevyo.

Mmoja wa wananchi wa Kikuyu Kaskazini ambaye alijitambulisha kuwa ni kada wa CCM na kukataa jina lake litajwe alisema ana mashaka na wana CCM huenda wana mpango wa kuua chama.

Alisema haiwezekani viongozi wa CCM badala ya kutangaza sera wao wanajielekeza katika matusi na kashifa,mambo ya afya ya mtu anaijua Mungu mwenyewe.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mungu mpangaji wa yote!!!! wewe una hakika gani ya kufika kesho!!!!!??? mungu akusamehe maana hujui utendalo!!!!!

    ReplyDelete
  2. Bongo siasa ni za majitaka hakuna la maana nadhani ndiyo maana watu wenye uwezo mzuri wa kuwa viongozi hawashawishiki kuingia katika siasa kutokana na mambo haya yasiyo na msingi, mtu anaona ameshajenga heshima yake katika jamii kwanini akaiharibu kupitia siasa hizi zenye muelekeo wa majitaka na kufuatilia zaidi personal life za watu badala ya kuangalia uwezo na utendaji wa mtu! Watanzania tuseme hapana kwa viongozi wenye kung'ang'ania siasa za majitaka bila kujali yupo katika chama unachokipenda au la! Wakipanda majukwaani tusiwape nafasi za kuongea ishu zisizo na msingi tudai zaidi sera zao ili tufanye maamuzi sahihi! Mungu ibariki Tanzania tujaalie tupite salama katika kipindi hiki! Tudumishe amani daima

    ReplyDelete
  3. Ulevi na umalaya waweza kukuondoa wakati wowote wee Makongoro.

    ReplyDelete
  4. CCM kwa matusi , kashfa a vijembe hakuna
    75 ya muda wao kwenye kampeni
    Nilikuwa simjui Lowassa lakini sasa namjuwa vizuri kura yangu na family yangu iko kwa Lowassa

    ReplyDelete
  5. mimi sishangai na maneno machafu na matusi ya kichaa mwanaharamu huyu,makongoro nyerere.mwezi umeandama na yupo dodoma pia kwa ratiba yake ya kliniki ya magonjwa ya akili mirembe.Yupo dodoma hususani mirembe wamfanyie brain-check up na wamfungashie dozi ya miezi mitatu ijayo.Ana serious mental case.leo hii pia sishangai anapomtukana Mheshimiwa Rais mtarajiwa wa awamu ya tano,Mhe.Edward Ngoyai Lowassa kwa sababu akiwa nccr mageuzi-ya mrema-wakati ule pale arusha mnamo 1995 aliwahi kumtukana matusi ya nguoni baba yake mzazi aliyemzaa yaani hayati mwalimu j.k.nyerere.sasa hapo amebakiza nini? amembakiza nani?ccm wanamfurahia sana,tume ya taifa ya uchaguzi meno yote nje.sawa,mungu yupo,muomba mungu hachoki na sisi watanzania hatuchoki kumuomba mungu.majibu yetu toka utukufu wa baba yanakuja, na sio mbali. wala

    ReplyDelete
  6. Wananchi wengi wanafahamu kuwa makongoro nyerere anaishi kwa uwezo wa madawa ya uchizi na faili la magonjwa ya akili pale mirembe.hilo liko wazi.kichaa kinapompanda basi anamtukana mtu yeyote amuonaye.alimtukana mara kadhaa baba yake mzazi mwalimu jk nyerere,amemtukana mkapa mara kadhaa,sina uhakika na mwinyi na pia kikwete, hana mke ni muhuni na .la pili nimzungumzie huyu mgombea ubunge wa ccm dodoma mjini bw.anthony mavunde aliyekuwa akipigiwa kampeni na makongoro.sisi watu wa manisspaa ya dodoma hatumtaki,na tena hatumtaki kabisa anthony mavunde[mtoto wa aliyekua meya tapeli,mwizi wa manispaa dodomaJohn mavunde-mtu wa ma-scandal ] huyu bwana ndiye wakili wa mqmlaka ya ustawishaji makao makuu[CDA] ,mamlaka inayochukiwa na wakazi wowe wa dodoma mjini.huyu mavunde ndiye mtetezi wake CDA ,kuna kitu hapo?na ieleweke CDA imemdhamini huyu mtu wake na ndiyo maana rushwa kubwa kake yeye nje-nje.chaguo letu watu wa dodoma ni BENSON SINGO KIGAILA wa CHADEMA.SASA HIVI CDA,RPC DODOMA lao ni moja,kuhakikisha benson kigaila hapiti ubunge.unajua CDA ina mashauri 236 ya kushitakiwa na wananchi mbali mbali wakiishitaki CDA mahakamani, na wakili wa mamlaka ni anthony mavunde mtetezi mkubwa wa cda.mwezi wa sita mwaka jana wananchi wa dodoma walimuomba rais kikwete aondoke na cda,HAWAITAKI IMEWADHULUMU SANA ARDHI YAO.HILI HALINA MJADALA NA,MWISHO.JEE MNAMUONA RPC ANAVYOMNYANYASA SHUJAA WETU KIGAILA.TUNASEMA,KWA MARA NYINGINE TENA TUNAMPA UBUNGE BENSON SINGO KIGAILA-SAUTI YA MALOFA.CCM KAENI KANDO

    ReplyDelete
  7. NILIPOSOMA UJUMBE MZITO WA ANONYMOUS 8:59 PM KWELI NIMETAMANI KULIA,MIMI NI MTU MZIMA MPAKA SASA NATAMANI KULIA.CCM WANAMUONEA SANA,WANAMUONEA WAZI MUHESHIMIWA EDWARD LOWASSA.LAKINI,KWA MATUSI YOOOOTE HAUO YEYE HAJIBU,ANAELEZEA SERA ZAKE TUU MIMI NAJIULIZA JEE MHESHIMIWA LOWASSA HAWEZI KUWAJIBU,HAPO HAPO NAPATA JIBU CCM WANACHUNGULIA KABURI WASIJIBIWE

    ReplyDelete
  8. nani amewaloga ccm jamani wamesaau kabisa wanachotakiwa kikifanya

    ReplyDelete
  9. mimi ni mwana ccm mzuli lakini kumtukana binadamu wakati wewe siyo mungu uwezi juwa unaweza ukafa wewe.mungu ndie anajuwa

    ReplyDelete
  10. weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee liwasa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  11. Aanze kutaja ugonjwa WA ndugu aliyefariki
    Dada yake Rosemary na yeye wenyewe wanaumwa nini
    Midomo miyekundu vidonda
    Dada yake teja lipo Zanzibar hotel Kila kukicha

    ReplyDelete
  12. Karithi kwa kaka yake WA kufikia mkapa Kwani wote akili zao sawa

    ReplyDelete
  13. makongoro siku zote akiwa hapa dodoma bar yake ni CHAKO NI CHAKO ni mnywaji mzuri,tena tuseme mzuri sana.tunakunywa naye.kwake,kwa umaarufu wa jina 'offer' hazipungui.ila akianza na akisha lewa,mama yangu weee,ataanza kuwashika makalio na matiti mwanamke yeyote atakayemuona pale huku matusi yakimtoka kama mvua.hapo sisi humkimbia kufuta ushahidi ili aendelee na uwendawazimu wake yeye mwenyewe.ataropoka jinsi baba yake alivvokua hampendi,ataanza kuimba,atauchezea uume wake hadharani,ataagiza kuku alipe mwenye bar.pale ni mwanachama wa chako ni chako kichaa kama kichaa,na mara kadhaa anaripotiwa kwa rpc lakini wala hahojiwi.ni kichaa kama walivo vichaa wengine.

    ReplyDelete
  14. hee makongoro,yaani akilewa anatoa na kuuchezea uume wake hadharani,kaa.amebakiza kuvua nguo tuu,na hili linakuja muda si mrefu.ni mwendawazimu makongoro

    ReplyDelete
  15. Wenzenu wamelamba Shilingi Bilioni Tano kutoka kwa Lowasa ili akinunue CHADEMA musioolewa mnamshabikia. Amkeni Achananeni na Fisadi huyu. Anataka aende Ikulu arudishe gharama atakayokuwa ametumia.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na wewe unepewa kisasi gani na Magufuli

      Delete
    2. Na wewe umepewa kiasi gani na magufuli
      Tuache it's our choice
      Hatuipendi CCM Kama hitler

      Delete

Top Post Ad