Msafara wa Edward Lowassa Wazuiwa Muheza na Korogwe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msafara wa Mgombea wa Ukawa, Edward Lowassa umesimamishwa na maelfu ya watu Muheza..... Lowassa alikuwa anatoka Tanga... 

Umati wa watu ni mkubwa sana sana hapa Muheza.... 

Haijawahi kutokea


Kwa mtiririko huu nawaambia ndugu zangu - Lowassa ni RAIS. Nasema hivyo kwa sababu kama na Tanga, Dodoma na Morogoro wamegeuza upepo basi uchaguzi umeshaisha kabla haujaanza.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tumesomeshwa namba sisi

    ReplyDelete
  2. subiri oct 25 acha ku bwabwaja kama hauna meno

    ReplyDelete
  3. subiri oct 25 acha ku bwabwaja kama hauna meno hizo mbwewe2

    ReplyDelete
  4. Hayo mafuriko hayajaanza leo, yalianza tangu enzi za Mrema, tumesha yazoea.......MTAISHIA KUNAWA.......KAMA KAWA KAMA DAWA........TINGATINGA NDIO MPANGO MZIMA............

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mlizoea bao la mkono
      Mwaka huu tumeamka
      Ukawa wapo hadi nec, ukilu, usalama wa taifa, polisi hadi jeshini
      Wamechoka na CCM
      Mwaka huu Hakuna wizi wa kura.
      Badilisheni viongozi Kila kona saa hizi
      Lakini Lowassa it's our new president 25 October

      Delete
  5. hayo ni maoni yako,kura hazipigwi kwa kuangalia wingi wa watu waliokusanyika kumtazama Lowasa,wengine wana sababu tofauti ya kumtazama.

    ReplyDelete
  6. WATANZANIA WAMECHOKA.. WANATAKA MABADILIKO

    ReplyDelete
  7. Buhahahahhaaaaaaa mwaka huu lazima mkaeeeee

    ReplyDelete
  8. CCM HAWATAKUFA KIRAHISI,WANAKANA NA KUKATAA KIILA USHAHIDI,UWE WAZI KIASI KIPI KWAMBA TAYARI WAMEKWISHASHINDWA.YAANI CHALI,YAANI PUUU WAMEANGUKIA PUA.UNAJUA TATIZO KUBWA HAPA NI KWAMBA CCM ILIKWISHAFANYWA TAASISI-AJIRA NA SI CHAMA CHA SIASA TENA.WAO WANAJIHESABU NA KUJIONA NI SEHEMU YA DOLA.JEE UNA HABARI CCM WANA IDARA YA USALAMA KAMA HII YA SERIKALINI NA KWAMBA WANA USHIRIKIANO WA KARIBU SANA.TATIZO KUBWA HAPA VIONGOZI WAO WA JUU HAWANA UJASIRI WA KUWAAMBIA WANACHAMA WAO KUWA KWA HIVI SASA WAJIANDAE KUWA CHAMA CHA UPINZANI.WANANCHI WALIKWISHA AMUA,TENA NI SIKU NYINGI KWAMBA RAIS WAO AJAYE NI MHESHIMIWA EDWARD NGOYAI LOWASSA.LOWASSA NI WANANCHI NA WANANCHI NDIYO HII TANZANIA.HONGERENI SANA KOROGWE NA MOMBO MMEMKARIBISHA KIFALME MHESHIMIWA LOWASSA,TUMEWAONENI,NI MAELFU KWA MAELFU KWA MAELFU.YAANI MPAKA RAHA!

    ReplyDelete
  9. SAFI SANA LOWASSSA UMEWAKOMESHA CCM HAWALALI,HAWALI WANA KUWAZA TU WEWE KWA KWELI UMEONESHA NJIA NA UJASILI WA AJABU KWA KUTOKA MISRI KUJA KAANANI.HONGERA SANA TUPO NYUMA YAKO,USISIKILIZE KELELE NA MATUSI YAO HAO WADHALIMU WAMESHALANIWA SIKU NYINGI.MPK WAMECHANGANYIKIWA.

    ReplyDelete
  10. WEWE VP KWAHIYO MUGUFULI ANAPOSEMA ATASHINDA KWA ASILIMIA 99 Anazitoa wapi?wanasema wametembea mikoani wameona wanakubalika na watu,kwa mtazamo wako kwa mugufuri kwako ni sawa ili kwa LOWASSA sio sawa,acha vivu na pole naona roho inakuuma.

    ReplyDelete
  11. Weather they like or not Lowassa is our nest President and God chose him for Tanzania lowassa I love u my president mama Regina my firs lady hureeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete

Top Post Ad