Nape Amshambulia LOWASSA....Asema ni Fisadi na Hakuna kazi Aliyofanya Bila Kuiba. Kazungumzia Pia Suala La Lowassa Kujinyea

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mjumbe wa Kamati ya Ushindi ya Chama Cha Mapinduzi, Nape Nnauye ametumia dakika takribani 10 kumshambulia mgombea urais kwa kiketi ya Chadema, Edward Lowassa aliyewahi kuwa kada wa chama hicho.

Nape alirusha makombora yake kwa Lowassa jana alipopewa nafasi ya kumnadi mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli katika viwanja vya Samora, mjini Iringa.

Alisema Lowassa ni mwizi na fisadi na kwamba hakuna sehemu ambayo alipewa kufanya kazi katika ngazi za CCM na serikali bila kuiba.

Nape  alidai  kuwa  Lowassa  alishindwa  kukaa  katika  chama  cha  Mapinduzi  kwa  kuwa  hawezi  kufugika...."Lowassa  ni  Kunguru,Hafugiki." Alisema  Nape.

Katika  hatua  nyingine,Nape  alidai  kuwa  Lowassa  aliwanunua  viongozi  wa  ngazi  za  juu  wa  UKAWA  na  CHADEMA  ili  apate  nafasi  ya  kugombea  kupitia  Chadema  ambayo  awali  ilikuwa  ikimuita  fisadi.

Katika  maelezo  yake,Nape  alisema  mbunge  wa  Iringa  mjini,mchungaji Peter Msigwa  ni  miongoni  mwa  walionunuliwa  na  Lowassa  kwa  shilingi  milioni 340.

Nape  amekuwa  akirusha  makombora  kwa  Lowassa  tangu  alipotangaza  uamuzi  wake  wa  kukihama  chama  hicho  na  kujiunga  CHADEMA.

Nape  aliwahi  kunukuliwa  akisema  kuwa  amekuwa  akipamb
ana  na  Lowassa  kwa  miaka 12  ndani  ya  CCM  na  kwamba  mziki  wake  anaufahamu

Hata  hivyo, tangu  alipoanza  kampeni  zake,Lowassa  amekuwa  kimya  bila  kujibu  mashambulizi  ya  Nape  na  viongozi  wengine  wa  CCM,hali  inayomfanya  azidi  kujipatia  umaarufu  mkubwa  zaidi  wa  kiasiasa.

Wakati  Nape  akitumia  muda  mrefu  kurusha  makombora, Lowassa  yeye  alikuwa  Jijini  Tanga  akifanya  mkutano  mkubwa  wa  kampeni  uliolazimika  kukatishwa  kutokana  na  mafuriko  ya  wananchi  kuzidi  eneo  la  mkutano.

Tazama  Video  Hapo  Chini  Kumsikiliza  Nape
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kesha filisika huyu!! ukishafilisika kichwani, kisera, utatafuta legitimate nyingine, ambayo ni kuwa mhuni, au kutoa matusi na kusingizia wengine uongo!! huyo ni mtu aliyefilisika kichwani!

    ReplyDelete
  2. Ccm kwishinei hakuna cha bao la mkono wala kisigino

    ReplyDelete
  3. acha uongo Udakuz mkutano ulikatishwa kwasababu Lowasa alihutubia dakika 5 tu, Antena ikapinda, watu wakaanza kuhamaki

    ReplyDelete
  4. Nape amesema tusimchangue lowassa kwasababu ni marehemu hongera yake yeye mzima

    ReplyDelete
  5. Acha ujinga wewe, kama na wewe hukuwa fisadi na hukuupenda ufisadi ni hatua gani uliichukua dhidi yake. MFA MAJI HAACHI KUTAPATAPA (CCM). Jipange upya acha KUROPOKA.

    ReplyDelete
  6. Watatapatapa sana
    Wote wenzawazimu
    Tangu mgombea wao hadi wapiga debe wake
    Lowassa baba wanyamazie kura zetu unazo wewe na ukawa
    Mungu akupe maisha marefu
    Watakufa wao watakuacha

    ReplyDelete
  7. NAPE KAULI YAKE ITAMGHARIMU SANA KATIKA MAISHA YAKE,KWA MAANA HIYO MWAGOJWA WOOTE WALIKO MAHOSPITALI NI MAREHEMU,DUH SIKUAMINI KAMA KWELI NI KAULI YA NAPE AU AMETUMWA NA CCM?WALIANZA NA UFISADI,WAKAGOGA MWAMBA,WAMEKUJA NA SWALA LA AFYA NALO LIMEBUMA KWELI MUNGU AKIAMUA HAKUNA WAKUKATAA.

    ReplyDelete
  8. Watu wengine bwana
    Boko boko
    Mchicha mwiba
    Njegere
    Wanawashinda hata wanawake kwa tabia zao
    Mungu tunusuru na watu wa aina hii

    ReplyDelete
  9. Basi jk in marehem , mwakyembe, mwandosya,mkapa, makongoro na wengine wote CCM
    Maanake ni wagonjwa

    ReplyDelete
  10. Nape ulimtawaza Hayo mavi
    Utakufa kifo kibaya wewe chunga domo lako

    ReplyDelete
  11. NAPE,KUMAMAYO ,NARUDIA KUMAMAYO,MIMI NIPO TAYARI KWA SHARI NA WEWE,IWE YA WAZI AU YA KIFICHO,SIKUSUBIRI UNIJIBU,SI UTARUDI TENA JIMBONI KWETU MTAMA? NJOO TUKUZOMEE KILA UTAKAPOPITA.

    ReplyDelete
  12. naye nape ni marehemu asiyejijua, marehemu anaetaka apandishwe cheo, marehemu domo kaya, hivi badala ya kuzungumzia ilani ya chama na maendeleo mtakayoyafanya ni pushap na kumtukana mwenzako aliepewa hapokonyeki aliengarishwa na mungu humuwezi wewe tuige mifano ya wenzetu wa marekani nyie ni viongozi wakubwa jamii inakutizameni lakini cha kushangaza lowasa lowasa kafanya nini kubwa mlilokuwa hamjalipitia nyie. TUNAAMINI LOWASA ANA MATUNDA MAKUBWA NA YENYE AFYA MWILILI NA NDIO MNAYAPOPOA KWA MAWE NA MAJITI mbona mti usio matunda hamuupopoi? NA MTU MNAEMFUKUZA UKAMKOSA JAPO KUMTUKANA UTAMTUKANA. MANENO YAO YAKUPE UMRI MREFU NA MAREHEMU WAMEANZA KUWAONA NA KILA MTU ATAKUFA KWA SIKU YAKE KUFIKA ASITUKANE VIRIRINI KAULI ZITAMDHURU MWENYEWE.

    ReplyDelete
  13. NAPE MUONGOPE MUNGU KAULI YAKO MBINGU NA ARIDHI ZIMEISIKIA.

    ReplyDelete
  14. DAH KWELI ,CCM MMEMDHALILISHA SANA MZEE WA WATU NA FAMILIA YAKE, ILA PAMOJA NA HAYO YOOOOOOTE TUMEAMUA HUYOHUYO TUTAMCHAGUA NYINYI BAKINI NA HUYO WA KWENU MAGUFULI ALIYEJALIWA KUWA NA AFYA NA UZIMA MILELE, SISI NI LOWASA HATUMUACHA KAMWE, HATA MSEME NINI.KWA MAANA MUNGU YUPO PAMOJA NAE SIKU ZOTE.

    ReplyDelete
  15. Nape ni kuchii kama amemshindwa messi huko mtama atamuwezaje lowassa? Messi kwanza nape baadae.

    ReplyDelete
  16. Bora huyu anaumwa ugonjwa usio wa kuambukiza kulikoni CCM na viongozi wake wenye gonjwa la kuambukiza
    Poleni wanawake mnaowapigia kampeni wote wana ngoma hao CCM

    ReplyDelete

Top Post Ad