Nyaraka Feki ya TCRA Yasambaa Mitandaoni..TCRA Watangaza Kiama Kwa Wahusika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mamlaka ya mawasiliano TCRA imekanusha taarifa inayosambazwa mitandaoni hivi sasa kuwa imetuma waraka kwa jeshi la polisi kuishughulikia akaunti moja inayohusika na makosa ya mitandaoni


Taarifa hito iliyosambazwa mitandaoni ni ambayo haioneshi anuani ya aliyetuma wala aliyetumiwa, tarehe, wala kumbukumbu namba, lakini pia taarifa hiyo inaonesha kusainiwa na Mkurugenzi mkuu Prof John Nkoma ambaye alishastaafu kwa mujibu wa sheria toka Juni 30 mwaka huu, na kwa sasa TCRA ina mkurugenzi mpya aitwaye Dkt Ally Simba

Taarifa hiyo Feki iliyosambazwa mitandaoni
Kufuatia usambaaji huo wa taarifa hiyo feki, mamlaka hiyo imelazimika kukanusha taarifa hiyo na kusema ni ya uongo na wametangaza kuwa watamshughulikia muhusika kwa mujibu wa sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015, na kanusho hilo limetolewa kupitia ukurasa wa twitter wa TCRA

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Top Post Ad