Picha 4 nje ya Mahakama baada ya Mwimbaji wa Gospel Emmanuel Mbasha kushinda kesi ya kubaka…

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Moja ya stori kubwa iliyogusa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania ni ishu ya Hukumu ya kesi ya Mwimbaji wa Gospel Tanzania, Emmanuel Mbasha ambapo alikuwa anakabiliwa na Kesi ya kumbaka shemeji yake na kesi imekuwa Mahakamani tangu mwaka 2014.

Tayari hukumu ya Kesi hiyo imetolewa Mahakama ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam leo, Mwimbaji huyo ameachiwa huru baada ya Mahakama kumkuta hana hatia kwenye Kesi hiyo.



Source: Millard Ayo
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haya sasa flora ngwajima yupo wapi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anatafuta njia ya kwenda Ikulu

      Delete
  2. MUNGU NI MWEMA.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. UKWELI UMEJULIKANA!!!!

    ReplyDelete
  4. FLORA AIBU YAKO!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. Mwenye haki hataachwa pamoja na kudharirika kote leo hii mungu kasimama upande wake Flora aibu kwako dada

    ReplyDelete
  6. Mpaka useme kiingereza kibovu, tatizo ni kuelewa au lafdhi ya Mh Rais? Mbona hushangai mchina kuongoza matokea ya kidato cha nne kiswahili na kuwazidi wenye lugha yao? Tungepata Rais msandawe ungeandika nini hapa?

    ReplyDelete

Top Post Ad