Utafiti wa TADIP Urais 2015 wampa Lowassa ushindi Lowassa kwa 54.5% dhidi ya Magufuli (40%)

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
 Utafiti wa TADIP Urais 2015 wampa Lowassa ushindi Lowassa kwa 54.5% dhidi ya Magufuli (40%)
Katika Utafiti huo uliosomwa Jana Mbele ya Waandishi wa Habari Pale Hotel ya Regency

Lowassa Ameongoza kwa Asilimia 54.5% , Magufuli 40%, Anna Mughwira 2%, Rashidi Rungwe 0.4%, Chief Yemba 0.1%, Sijui 3%

_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahahahaaaaaaaa oya mwaka tutaona mengi UKAWA tulizeni boli msijipe matumaini hewa tulishawajua msijisumbue mmelikororoga wenyewe subirini kulinywa october 25

    ReplyDelete
  2. ndo wana ukawa mfurahi sasa danganya toto hapa kazitu tare 25 utafiti wenu utajulikana magufuli oeyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy

    ReplyDelete
  3. Enheeee!! hapo sasa mtafurahi au veepee, maana TWAWEZA waliwaweza, waliposema TINGATINGA linaongoza, mlitoaje povu!!!

    ReplyDelete
  4. huuu ndiyo utafiti wakweli!!! thanks God.

    ReplyDelete
  5. Na mimi katika utafiti wangu nilioufanya katika nyumba 10, matokeo ni kwamba TLP itashinda kwa asilimia 34.5% ikifuatiwa na UPDP 20%........nitaendelea kutoa matokeo tofauti tofauti kwa jinsi matusi ya wanaukawa nitakavyo yapokea....maana wao ndio HAWATAKI KUSHINDWA....ahsanteni kwa kunisikiliza

    ReplyDelete
  6. TUNASUBIRI MATOKEO YA NEC, SIO NYIE KAJAMBANANI

    ReplyDelete
  7. Hapo sasa kama nawaona ukawa wanavyo chekelea, kama ndio uchaguzi wenyewe umekwisha vile, tusubiri tuone jinsi TADIP watakavyo pongezwa na msemaji wa cdm Mbatia.......tehe tehe tehe tehe tehe tehe

    ReplyDelete
  8. Kwanza hiyo TADIP ni NGO ya Chadema na Zitto alikuwa Director kabla hajafukuzwa cdm, sasa mlitaka ampe ushindi nani?? Nyie jitekenyeni wenyewe, mjichekeshe wenyewe, yote kwa yote 25th October, 2015...............GOMA LITAKAPO NOGA!!!

    ReplyDelete
  9. Wananchi tusipelekeshwe na hizi tafiti hayo ni maoni na si kura! Matokeo ya kweli ni oktoba 25! Fanya maamuzi sahihi yenye maslahi mapana kwa taifa kuwa na msimamo ikifika siku ya kupiga kura nenda kapige kura kwa amani! Nahisi tafiti hizi zitaendelea kuletwa zaidi na zaidi usipumbazwe nazo kura yako ndiyo msema kweli

    ReplyDelete
  10. TWAWEZA,IPS NA CCM YAO ==25 OCT

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad