Breaking News: Aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Tanzania Afariki Dunia Nchini India

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Waziri  wa  Viwanda  na  Biashara,ambae pia ni Mbunge wa jimbo la Handeni Dr.Abdalah Kigoda amefariki  dunia leo  majira  ya  saa  kumi  jioni  nchini  India  alikokuwa  amelazwa  kwa  matibabu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Watanzania Tujitafakari. Vyeo ni dhamana. Maisha ya binagamu ni Zawadi toka kwa Mungu. Kunawakati itafikia Kwa Watanzania Viongozi wa ngazi za juu kujichunguza namna gani wanapata Madaraka. namna gani wanabakia madarakani. Namna gani ni Wadanganyifu. Namna gani ni madictator na traitors.
    Watu wanabakia madarakani kwa bei yeyote ile. Ndo maana hatupigi hatua zinazostahili. Viongozi wa CCM wengi waliojirundikia mali kwa kuibia na kuipotosha nchi. Wapo tayari kwa njia yeyote ile kubaki na mali hizo bila kufikishwa mahakamani. Kwa WanaCCM wanaotumia lugha chafu kwa Wanaounga mkono Chadema kuwaita Vibaka, Wezi, Fisadi, ikiwa wenyewe ni mafisadi wakuu. Waangalie huu uchaguzi vizuri sana. Sababu vibaka hao wanatafuta mabadiliko. Wameungana Wataleta mabadiliko kutumia demokrasi kwa kupiga kura hapana kwa CCM. Sababu CCM imepoteza ustaarabu na Kuwaita wananchi vibaka, na Wezi. Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na Ulimwengu.
    Nawaomba kwa wote walioumia kwa kuitwa vibaka, wezi, mafisadi, wapumbavu,Wehu, Waporaji ambao kosa lao kubwa ni kuikubali Ukawa na Chadema, wasilipize kisasi. Badala yake waende kwenye sanduku la siri ili wajipatie heshima zao kupitia CHADEMA na UKAWA. Hicho ndicho kisasi kikubwa kuliko kuua, au kupiga bomu. Kwa Ustaarabu nenda kwenye chumba cha kupiga kura na uweke VEMA kwenye picha ya MMassai Edward Lowassa. Ahsanteni.

    ReplyDelete
  2. mpumbavu mkubwa wewe ndio maana mnaambiwa mnataka madaraka kwa nguvu. hii page ni ya msiba wewe unaleta upumbavu wako wa ukawa mjinga wewe utaona kama nchi mtaipata!!!. ahaaa!!! we vipiii!
    R.I.P KIGODA

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na mta kwenda wote kwa matusi yenu
      Badala ya kuombeleza CCM mwenzenu mnatukana
      Wagonjwa mtaawacha mungu mkubwa

      Delete
    2. Omboleza Acha matusi

      Delete
  3. Makongoro Upo sema sema tukusikie

    ReplyDelete

Top Post Ad