Christian Bella Adai Fedha Alizotunzwa Kwenye Fainali ya BSS ni Shilingi Milioni 3.2

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Christian Bella amesema show yake ya fainali ya Bongo Star Search Ijumaa iliyopita, ilimuingiza fedha za kutunzwa nyingi zaidi kuliko show zote alizowahi kufanya.

Bella ameiambia Bongo5 kuwa ni mara yake ya kwanza kutunzwa zaidi ya shilingi milioni 3 na hivyo anawashukuru watanzania kwa upendo wanaomwonyesha.

“Unajua mimi nimekuwa nikitunzwa pesa nyingi lakini haikuwahi kufika kiasi kile. Nakumbuka katika uzinduzi wa wimbo wangu ‘Nashindwa’ nilitunzwa milioni 2, lakini ile ya BSS ndio imevunja rekodi, milioni 3 na laki mbili ni nyingi sana. Nawashukuru sana watanzania. Hii inaonyesha wanakubali ninachokifanya,” alisema Bella.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Top Post Ad