Dr. Slaa akimbilia tena Marekani, awatakia Watanzania uchaguzi salama

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya kutapatapa huku na kule na kushuhudia jinsi alivyoshusha heshima yake na kudharauliwa na wananchi Dr. Slaa kaamua kukimbilia tena Marekani na kuwatakia watanzania uchaguzi mwema.

Dr. Slaa hapa karibuni heshima yake ilishuka sana, baada ya kuanza kutumiwa na CCM. Maskini saizi baada ya kuona hana impact tena wameamua kuachana naye jumla na yeye kuamua kurudi Marekani kwa aibu...

Mytake: Hiyo ndio dhambi ya usaliti. Kamwe hawezi kuishi kwa furaha

Source: Raia Tanzania... 16.10.2015
By by Ocampo four
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Top Post Ad