Huyu ndio mtoto aliyezaliwa na kuvunja rekodi ya kuwa na uzito mkubwa zaidi India..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwenye Kitabu cha Kumbukumbu kubwa za Dunia, Guinness World Records kumbukumbu kubwa kuwekwa na mtoto aliyezaliwa na uzito mkubwa zaidi iliwekwa mwaka 1955 na mtoto ambaye alizaliwa akiwa na uzito wa Kilo 10 Italy.

Rekodi nyingine kubwa kwenye Kumbukumbu Marekani ni ya mtoto aliyezaliwa na uzito wa Kilo 6.8 mwaka 2014, lakini India nao wana Rekodi kubwa iliyowekwa kwa watoto wachanga wanaozaliwa.

Mama Goga Bai amejifungua mtoto wa kiume October 01 2015 na Rekodi ambayo mtoto wake ameiweka India ni ya kuzaliwa na uzito mkubwa zaidi ambao ni Kilo 5.9.

Daktari mmoja amesema huyo mtoto amevuja Rekodi ya kuzaliwa na uzito mkubwa zaidi kwa sababu wastani wa watoto  wanaozaliwa India ni kati ya Kilo 2.5 na kilo 3.5.

Mama huyo kajifungua salama kabisa na yeye pamoja na mtoto wake wako kwenye afya nzuri.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad